인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.
전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
kazi hii imeishia kuwa simulizi ya kimapenzi yenye kuvutia na iliyoandaliwa vyema kwa kuwianishwa barabara na wimbo wa kimahaba ulioambatanishwa na video hii.
the result is an endearing love story set to an equally romantic soundtrack.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
na video hii inawaonyesha kaka wawili wa ki-kongo waliotengana kwa miaka 15 na hatimaye kukutana kwa mara ya kwanza kwenye zana ya mtandaoni ya google hangout on air baada ya kufahamishana mahali walipo kupitia mtandao wa shirika la refugees united.
and this is a video with two congolese brothers separated for 15 years who met for the first time on google hangout on air after locating each other via refugees united.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kama ilivyo upande wa tanzania bara, ilani za uchaguzi, picha na video za mikutano ya kampeni nazo zimetundikwa kwenye tovuti za mgombea urais wa zanzibar wa chama cha ccm dkt. ali mohamed shein na vilevile zile za mpinzani wake mkubwa, maalim seif sharif hamadwa chama cha wananchi (cuf).
similar to tanzania mainland, election manifestos, pictures and videos of the campaign rallies are on display on the websites of the zanzibar’s ccm presidential candidate dr ali mohamed shein as well as on his main opposition contender maalim seif sharif hamad from the civic united front (cuf).
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.