검색어: traki ya sauti (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

traki ya sauti

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

podikasti ya sauti za dunia.

영어

the global voices podcast.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

agata kol ni moja ya sauti chache zinazounga mkono uamuzi huo:

영어

agata kol is one of the few voices supporting the decision, though:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

picha kutoka kwenye video ya "sauti za wa-paupa."

영어

screen capture from "papuan voices."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

moja ya sauti chache zenye mtazamo tofauti na huo, observer, anaandika:

영어

one of the few contrary voices, observer, wrote:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa kuanzia, hebu turudi nyuma, kwa siku za kitambo na tuangazie asili ya sauti ya dunia.

영어

first, let's go way back, a long time in internet years and consider the origins of that thing we call global voices.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sehemu ya sauti za vijijini pia inawaunganisha wasomaji na wakazi wa sehemu hiyo kwa kutumia ujumbe wa maandishi.

영어

the village voices section also connects readers to local residents through text.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hii ni fursa ya sauti za wanawake kusikika”: attillah springer anajihusisha na kampeni ya hali ya hewa 350.

영어

this is an opportunity for women’s voices to be heard": attillah springer is getting involved in 350's climate action tomorrow.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

karibuni katika matangazo ya sauti ya moja kwa moja (podikasti) kutoka katika mkutano wa sauti za kimataifa.

영어

welcome to the global voices podcast.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

alieleza kuhusu uhusiano wake na jumuiya ya sauti za dunia na jinsi teknolojia ya kenya inavyozidi kuwa ya ubunifu, hasa katika sekta ya vifaa vya mkononi kama simu.

영어

he explained his connection with global voices and how kenyan technology continues to innovate, particularly in the area of mobile.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kadiri mwaka 2012 unavyofikia tamati, tungependa kutoa shukrani zetu kwa kazi nzuri, ubunifu pamoja na kuonesha kujali mambo mengi katika jumuia ya sauti za dunia.

영어

as the year draws to a close, we’d like to express our gratitude for the hard work, creativity and care of so many in the global voices community.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kulikuwa na haja ya sauti mbadala na kwa hivyo zone 9:ers walianza kublogu na kutumia vyombo vya habari vya kijamii kwa kuandika juu ya mada zinazohusiana na haki za binadamu.

영어

there was a need of an alternative voice and the zone 9:ers therefore began blogging and using social media to write on subjects related to human rights.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tunaamini kifo cha u win tin ni hasara kubwa si tu hasara ya sauti wazi ya upinzani katika siasa za burmese, lakini pia vyombo vya habari vya burmese vimepoteza mwandishi wa habari mwenye uzoefu na hekima.

영어

we believe u win tin’s death is a great loss—not only the loss of an open voice of criticism in burmese politics, but also burmese media has lost a journalist of experience and wisdom.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@commsbh: waziri: wizara inafanya utafiti kwa lengo la kutengeneza udhibiti wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano ya sauti. #bahrain

영어

@commsbh: minister: mosc is conducting a research study for the purpose of setting up controls over the usage of (voip) technology. #bahrain

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

badala yake, picha hizo zilikuwa mithili ya mafuta yaliyoongezwa kwenye moto unaowaka, kiasi kwamba baadhi hata wanathubutu kuhoji uhalisi wa mkutano huo kwa sababu hapakuwa na kipande cha rekodi ya sauti na video kuthibitisha madai hayo.

영어

instead, the images have further fanned the criticism, and some are doubting the authenticity of the meeting because there is no audio or video footage to back it up.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

alisema hatua hiyo inakusudiwa kulinda sekta ya mawasiliano nchini humo, akiongeza kuwa utafiti umeonyesha kuwa "watu laki moja nchini bahrain wametumia zana hizo za mawasiliano ya sauti katika kipindi cha siku nne."

영어

he said the move was to protect the country's communication sector, adding that a study showed that "100,000 people in bahrain had used voip applications in four days."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

hadi wakati ninaandika makala haya, watumiaji wa mtandao wa twita walishai-twiti na 16 waliipenda twiti ifuatayo mara baada ya idhaa ya sauti ya america ya hausa kuwaomba watu kutoa maoni yao kuhusiana na kuahirishwa kwa uchaguzi:

영어

by the time of writing this, 316 twitter users have retweeted and 16 favourited the following tweet after a call by voice of america hausa to its followers to express their opinion about the postponement:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@albosta: je, tujiandae kuaga huduma za mawasiliano ya sauti kama #bahrain #skype #asterisk #twiti iliyopita #viber

영어

@albosta: shall we kiss free voip goodbye #bahrain #skype #asterisk #previoustweet #viber

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

licha ya kuwepo majibu haya ya kimabavu dhidi ya sauti mbadala, kwa hakika, serikali haina budi kuutambua ubatili (bila kutaja matokeo ya kisiasa) wa kuendelea kubana uwepo wa fursa kwa uandishi wa habari na utoaji maoni ulio huru.

영어

despite these heavy-handed responses to alternative voices, the government must surely appreciate the futility (not to mention the political consequences) of continuing to restrict the space for independent journalism and commentary to exist.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

global voices na shirika la marekani kaskazini linaloshughulika na amerika kusini (nacla) kwa pamoja wameanzisha ushirikiano ambao utaunganisha dira ya ‘sauti za dunia’ ya uanahabari wa kiraia pamoja na ile ya nacla ya uchambuzi na utoaji wa elimu, lengo likiwa ni kuwaletea wasomaji wetu habari halisi na za kina kutoka katika eneo hili la latini amerika.

영어

global voices and the north american congress on latin america (nacla) have launched a new partnership that will combine global voices’ focus on citizen media and nacla’s analysis and expertise to bring our readers original, in-depth coverage about the region.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,763,904,703 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인