검색어: tumizi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

tumizi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

programu tumizi

영어

plugins

마지막 업데이트: 2014-08-15
사용 빈도: 3
품질:

스와힐리어

badilisha programu-tumizi zinazoonyeshwa kwemye menyu kuu

영어

add or remove applications from the main menu

마지막 업데이트: 2014-08-20
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa upande mwingine, utafiti tumizi hujikita katika matumizi na uhitajikaji wa maarifa kwa jamii.

영어

on the other hand, applied research focuses in the application and usefulness of these knowledges on the population.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

utafiti msingi matokeo yake ni ya muda mrefu wakati utafiti tumizi matokeo yake huonekana baada ya muda mfupi.

영어

we can also find differences about times, the former has long term results and the latter shows medium term results.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuhusu utafiti, lazima tufahamu kwamba kuna aina mbili kuu: utafiti msingi na utafiti tumizi.

영어

about research, we have to know it's divided in two branches: basic research and applied research.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nilipata wazo la kutengeneza zana tumizi hii baada ya kutumia masaa mengi nikitafuta zana ambayo ingenisaidia kufanya kazi zangu bila kujaa matangazo mengi.

영어

i got the idea of the app after spending long hours of looking for a fast lightweight flashlight app that did not contain ads .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

revoda, programu-tumizi ya kwenye simu za kiganjani unaowapa raia wasio na mafunzo nyenzo ya kushirikishana uzoefu wa uchaguzi.

영어

revoda, a mobile app that provides untrained citizens with a tool to share their election experiences.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kimbinyi pia ameunda zana tumizi (app) iitwayo lite kwa simu zenye zana ya windows na mpaka sasa ameendelea kupata maoni chanya kwa kazi hiyo.

영어

kimbinyi has also developed an app called lite for windows phones and has so far received positive reviews for the same.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

watumiaji watwitpic kardala, farrah3m na sgardinier walizituma tena kwa twita picha hizo za wanawake wanaondamana, wakati programu-tumizi za kushirikiana picha plixi and picasa pia zilitumika kwa malengo hayo hayo.

영어

twitpic users kardala, farrah3m and sgardinier retweeted some of the images of the women protesters, whilst photo-sharing applications plixi and picasa were also utilized for similar purposes.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuanzia mwezi huu, mtandao wa global voices (katika lugha tofauti) utakuwa ukipendekezwa kwa mamilioni ya watu wanaotumia zana tumizi iitwayo flipboard kwenye simu zao za kisasa au vifaa vingine vya kielektroniki ili kutengeneza kitu kinachofanana na "gazeti" kitakachokusanya mitandao yenye mvuto na maudhui ya mitandao ya kiraia katika sehemu moja.

영어

starting this month, global voices (in different languages) will be recommended to the millions of people who use an app called flipboard on their tablets and smartphones to create the experience of a "magazine" that combines their favorite media and social media content in one place.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,746,915,036 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인