검색어: uanaharakati (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

uanaharakati

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

biashara na uanaharakati

영어

business and activism

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

uanaharakati na umama barani asia

영어

activism and motherhood in asia · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kizito mihigo, hata hivyo, anafahamika kwa uanaharakati wake kwa masuala ya amani.

영어

kizito mihigo, however, is known for his activism for peace.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

saudi arabia: watumiaji wa mtandao watumia uanaharakati wa mtandaoni kuyatangaza maandamano ya qatif

영어

saudi arabia: netizens use online activism to draw attention to qatif protests

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa sasa, loubna ni mtayarishaji wa filamu wa basma, kikundi cha uanaharakati wa vyombo vya habari.

영어

loubna is now a filmmaker with basma, a media activist group.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tukiangalia nyuma katika uanaharakati dhidi ya rushwa katika mwaka 2009 tunaona kuwa utamaduni wa rushwa bado umeenea duniani kote.

영어

looking back on anti-corruption activism in 2009 we see that an entrenched culture of corruption is still pervasive worldwide.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

edom amejihusisha na uandishi wa habari ambao pamoja na kuwa uliambatana na kupuuzwa kwa uanaharakati wake, uanahabari wake umekuwa wa kukumbukwa na wa aina yake ya kipekee.

영어

edom has done journalism along with her understated activism with a remarkable elegance.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama malipo yaliyobaki yataendelea kuminywa zaidi huko mbeleni, itakuwa vigumu kwa yeyote anayefikiri kujiunga na uandishi/uanaharakati wa kiraia.

영어

if the balance is tilted further in the future, it will make it harder for any one considering citizen journalism/activism.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

uanaharakati wa mawsiliano wa beheshti, ikiwa ni pamoja na blogu yake mwenyewe umeonekana dhahiri kuwa ndio uliompelekea kuwekwa kukamatwa kikatili, kuteswa na hatimaye kuuawa akiwa na umri wa miaka 35.

영어

beheshti's cyber-activism, including his personal blog apparently led to his brutal arrest, torture and eventual death at the age of 35.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jukwaa linalokusanya video kadri zinavyowekwa mtandaoni linaloitwa ustream linalota fursa ya kujiandikisha kufungua anuania mpya na pia kuzitangaza kwa ajili ya kuzitumia video hizo kwa ajili ya habari zinazotokea, uanaharakati na hata kwa matumizi ya mengine ya faida kwa jamii.

영어

the live video streaming platform ustream is offering citizen journalists the opportunity to apply for free pro accounts and publicity for any innovative use of video for breaking news, activism, and social good.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati wote enrique anahisi kuwa kushitakiwa kwake kulitokana nay eye kujihusisha na mambo ya siasa kwenye majukwaa huru, na tena alionesha mshikamano mkubwa na makundi ya kijamii kama vile zapatista cause, na pia kujihusisha na uanaharakati dhidi ya nafta.

영어

enrique always suspected that his arrest was due to his political activities in public forums, for his solidarity with social causes, such as the zapatista cause, and for participating as an activist against nafta.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bila ya kujali watu wengi wanasema nini, kauli za marekani ya uanaharakati wa maendeleo ziko maili nyingi mbele ya matendo (angalia mahubiri ya king “waraka wa paulo kwa wakristu wa marekani”) na utaona kuwa harakati za kufikia malengo pole pole siyo jibu.

영어

regardless of what the majority of people say, progressive american rhetoric remains miles ahead of its deeds (see king’s brilliant sermon “paul’s letter to american christians”) and gradualism is not the answer.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,749,894,434 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인