검색어: uhalifu (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

uhalifu

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

rekodi ya uhalifu

영어

criminal record

마지막 업데이트: 2022-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ushoga ni dhambi, si uhalifu.

영어

homosexuality is a sin, not a crime.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

uzinzi ni dhambi na sio uhalifu.

영어

fornication is a sin not a crime.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tutaiandaa jamii na kukabili vyanzo (vya uhalifu).

영어

organise communities and deal with causes.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini muswada huu unashughulikia mambo mengi zaidi ya uhalifu huu.

영어

but the bill covers much more than this.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.

영어

and because iniquity shall abound, the love of many shall wax cold.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@nikzaz: mtafanya nini kuhusu uhalifu nchini afrika ya kusini?

영어

@nikzaz: what will you do about crime in south africa?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

congo (drc): video zasaidia kumtia hatiani thomas lubanga kwa uhalifu wa kivita

영어

dr of congo: videos helped convict thomas lubanga of war crimes · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika machapisho yake ya kila siku, gazeti la le progres ilithubutu kuchapisha ulinganisho wa viwango vya uhalifu katika mataifa mbalimbali

영어

in its daily publication, newspaper le progrès dared to publish a comparison of crime rates in the rhône by nationality

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

uhalifu na ngono vinaoneshwa wazi kabisa kwenye michezo ya luninga na filamu na hivi vyote vinafonzwa na vijana na watoto pia.

영어

violence and sex are prevalent on many t.v. shows and movies and these are all absorbed by the youth and children as well.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hukumu ilihitimisha uchunguzi wa karibu miaka mitano ya kikosi ambacho sasa kimevunjwa cha kuapambana na uhalifu nchini afrika kusini kinachojulikana kama scorpions.

영어

the conviction ended an investigation of almost 5 years by the now disbanded, elite crime fighting squad in south africa known as the scorpions.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

marisol valles garcia mwenye umri wa miaka 20 ni shujaa wa kweli akiwa kama mkuu wa polisi kwenye mji wenye uhalifu wa hali ya juu sana nchini mexico.

영어

20yr marisol valles garcia is a real-life hero as police chief of mexico's most violent town.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mgombea pekee aliyejitokeza kuliongoza jeshi la ulinzi wa jamii alikuwa marisol valles garcía, mwanafunzi wa miaka 20 anayesomea elimu ya makosa ya jinai na uhalifu.

영어

the only candidate to step forward to command the public security force was marisol valles garcía, a twenty-year old criminology student.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

siku ya alhamisi, juni 6, saa 11 asubuhi, tutatembelea eneo la ulipofanyikia uhalifu huo na kuwasha mshumaa wa ishara ya kutukumbusha tulivyopoteza maisha machanga ya kijana wetu.

영어

on thursday, june 6, at 11 am, we shall visit the crime scene and light a symbolic candle to remind us that we allowed ourselves to lose a young life.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

alisema vile vile kuwa katika kesi za ubakaji, polisi wawe wa kwanza kusimamia namna wanawake hao waathirika walivyovaa, na kama wamevaa hovyo, nao washitakiwe kwa kosa la kukaribisha uhalifu.

영어

he also said that in cases of rape, police should first ascertain the dress code of the victim, and if they were dressed indecently, they should also be charged with inviting the crime.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

#dershowitz unathubutu vipi kutingisha kichwa chako na shingo yako nyekundi na kututukana wazi wazi sisi wote kama taifa! vipi marekani na ubaguzi wake wa rangi na uhalifu?

영어

@darrenmaule #dershowitz how dare a crack head red neck openly abuse us as a nation!what about america and it's racial divide and crime? — shareez bagaria (@shareezb) march 6, 2014

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@anc_debate: tutakarabati mfumo wa sheria za uhalifu - uratibu bora, tutatengeneza miundo ya kisasa na tutaongeza rasilimali.

영어

@anc_debate: overhaul criminal justice system - better coordination, modernise systems, more resources.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

huko kambodia, serikali inapendekeza kuanzishwa kwa kituo cha taifa cha usambazaji ili kudhibiti watoa huduma za intaneti, kituo hicho kina nia ya kuimarisha usalama wa kwenye mtandao dhidi ya picha za ngono, wizi pamoja na uhalifu mwingine wa kwenye mtandao.

영어

in cambodia, the government is proposing to establish a state-run exchange point to control all local internet service providers which is intended to strengthen internet security against pornography, theft and other cybercrimes.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wakati kundi la wenyeji wa kaskazini mwa uganda, ambao waliathiriwa zaidi na uhalifu wake kony, walionyeshwa video ya invisible children katika onyesho la hadhara, hawakupendezwa na waliyoona katika video hilo, kama inavyoonekana katika video ya al jazeera english ifuatayo.

영어

when a group of north ugandans, the main victims of kony's crimes, were showed the invisible children's video in a public screening, they were not particularly pleased with the content of the video as is seen in an al jazeera english video below.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

(hapa natumia lugha ya kawaida ya watu kwa sababu ya udhaifu wenu wenyewe.) kama vile wakati fulani mlivyojitolea ninyi wenyewe kutumikia uchafu na uhalifu kwa ajili ya uovu, vivyo hivyo sasa jitoleeni nafsi zenu wenyewe kutumikia uadilifu kwa ajili ya utakatifu.

영어

i speak after the manner of men because of the infirmity of your flesh: for as ye have yielded your members servants to uncleanness and to iniquity unto iniquity; even so now yield your members servants to righteousness unto holiness.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,761,689,284 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인