검색어: ukanda (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

ukanda

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

mpira conveyor ukanda

영어

rubber conveyor belt

마지막 업데이트: 2017-06-04
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

akifunga ukanda wa kiti kwa kiswahili

영어

enjoy

마지막 업데이트: 2018-09-23
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

jos ni mjini kuu wa jimbo la plateau kwenye ukanda wa kati wa naijeria.

영어

jos is the capital of plateau state in nigeria's middle belt.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

naweza kuona moto mkubwa kutoka kwenye matanki ya israeli magharibi mwa ukanda wa gaza

영어

this is horrible i can see a huge fire from the israeli tanks western gaza strip. #gazaunderattack pic.twitter.com/whpsbrmspo — lara (@laraaburamadan) july 17, 2014

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

israeli imeanza uvamizi wa ardhini na kuugeuza ukanda wote wa gaza kuwa mithili ya mpira wa moto

영어

israel starts a land invasion and turns the whole gaza strip into a ball of fire... #gazaunderattack pic.twitter.com/pnyfbdtcra — gaza writes back (@thisisgaza) july 17, 2014

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini nchi hizo mbili zinashindana kiuchumi (ukanda wa scandinavia na wa amerika ya kaskazini)

영어

but the two countries compete economically (on scandinavia zone and north america)

마지막 업데이트: 2013-04-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na katikati yake kulikuwa na kitu kama mtu, naye alikuwa amevaa kanzu ndefu na ukanda wa dhahabu kifuani.

영어

and in the midst of the seven candlesticks one like unto the son of man, clothed with a garment down to the foot, and girt about the paps with a golden girdle.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kutoka gaza, hamas, ambayo imeutawala ukanda huo tangu mwaka 2007, ililipua makombora kwenda israeli.

영어

from gaza, hamas, which has ruled the strip since 2007, has fired missiles into israel.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mvua ya mabomu inanyesha kwenye ukanda wa gaza sasa hivi kutoka baharini, ardhini na hewani...israeli inapiga mabomu pande zote

영어

it's raining bombs across gaza strip now from sea, land and air...

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa upande mmoja ni ukanda wa nchi zinazopinga biashara ukijumuisha kongo, ghana, kenya, liberia, mali na sierra leone.

영어

on the one hand is the anti-trade range states consisting of congo, ghana, kenya, liberia, mali and sierra leone.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kutoka chile zilikuja ripoti za watu kutakiwa kuhama makazi kwenye maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini kuchukua tahadhari dhidi ya uwezekano wa tsunami:

영어

from chile came reports of evacuation from cities along the northern coast in anticipation of a possible tsunami:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

blogu ya marten ni ya picha peke yake inayoendeshwa na marten schoonman anayeishi nairobi kenya lakini ni mtu ambaye husafiri sana kwenye ukanda wa afrika mashariki na ng’ambo.

영어

marten’s blog is a purely photography blog run by marten schoonman who is based in nairobi kenya but one who travels a lot through the east african region and beyond.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama kungelikuwa na amani halisi katika ukanda huu wa utaifa, gharama (marafiki zangu wa mali mnisamehe) inaweza kuwa kujinyima amani kwa muda.

영어

if there were to be real peace in this stateless zone, the price to pay (may my malian friends forgive me) might be to renounce peace temporarily.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

idadi hii ni sawa na idadi ya watoto wote wa miaka mitano na chini ya miaka mitano katika eneo lote la jimbo la alpes-de-haute la ukanda wa ufaransa.

영어

that number is the same as the population of all children five and under in the entire alpes-de-haute-provence region of france.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

usiku kucha wa machi 9 hadi asubuhi ya machi 10, 2012, ndege za kivita za israeli zilifanya mashambulizi kwa kuchagua maeneo kwenye ukanda wa gaza, na kuua takribani watu 12 na kuacha wengine 20 wakiwa majeruhi.

영어

throughout the night of march 9 and into the morning of march 10, 2012, israeli warplanes attacked targets across the gaza strip, with a death toll of at least 12, and 20 injured.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata mwezi umekuwa mwekundu hapa gaza usiku wa leo mpiga picha jehad saftawi anatuma picha kutoka kwenye mpaka wa gaza, ikionyesha kuanza kwa operesheni hiyo: shambulio la ardhini linalofanywa na israeli limeanza kwenye ukanda wa gaza, hapa kwenye mpaka wa gaza

영어

even the moon is red in gaza tonight... #gazaunderattack pic.twitter.com/etgqgkyytx — فلسطين i (@ifalasteen) july 17, 2014

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@johnlyndon1: kujitoa mhanga kwa kujiunguza kwa moto katika mji wa gaza; kujichoma kwa moto kwa fayyad huko hebron; maandamano katika majiji muhimu huko ukanda wa magharibi.

영어

@johnlyndon1: self immolation in gaza; fayyad effigy burning in hebron; protests in major west bank cities.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

"baada ya kushuhudia kibinafsi ukosefu wa haki kwa watu wa palestina katika maeneo yaliyonyakuliwa na israeli, ni kwa huzuni kubwa na kusikitishwa kwamba sisi - waandishi wa kimataifa na wasanii tuliotia saini hapa chini - twakumbuka idhini ya benjamin netanyahu ya wiki hii ya vitengo vingine vipya vya makazi haramu 1500 katika ukanda wa magharibi.

영어

"having personally witnessed the injustice visited upon the palestinian people in the territories occupied by israel, it is with the utmost sadness and dismay that we - the undersigned international authors and artists - note benjamin netanyahu's approval this week of yet another 1,500 new illegal settlements units in the west bank.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,740,540,548 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인