인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.
전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
mpaka lini?
until the time
마지막 업데이트: 2023-09-15
사용 빈도: 1
품질:
mpaka lini besigye ataendelea kubeba maumivu ya watu ambao wanaonekana kuwa wameridhika na dhiki yao, ambao wamefyata?
for how long will besigye take the pain for people who seem comfortable in their misery, who are cowed?
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
yesu akawaambia, "enyi kizazi kisicho na imani! nitakaa nanyi mpaka lini? nitawavumilia mpaka lini? mleteni kwangu."
he answereth him, and saith, o faithless generation, how long shall i be with you? how long shall i suffer you? bring him unto me.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
basi, wayahudi wakamzunguka, wakamwuliza, "utatuacha katika mashaka mpaka lini? kama wewe ndiye kristo, basi, tuambie wazi."
then came the jews round about him, and said unto him, how long dost thou make us to doubt? if thou be the christ, tell us plainly.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
baba yake na mama yake hawatajwi, wala ukoo wake hautajwi; haisemwi alizaliwa lini au alikufa lini. anafanana na mwana wa mungu, na anaendelea kuwa kuhani daima.
without father, without mother, without descent, having neither beginning of days, nor end of life; but made like unto the son of god; abideth a priest continually.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
yesu akasema, "enyi kizazi kisicho na imani, kilichopotoka! nitakaa nanyi na kuwavumilia mpaka lini?" kisha akamwambia huyo mtu, "mlete mtoto wako hapa."
and jesus answering said, o faithless and perverse generation, how long shall i be with you, and suffer you? bring thy son hither.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다