검색어: vijijini na mijini (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

vijijini na mijini

영어

tourists

마지막 업데이트: 2016-06-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

matokeo yake, mpito kutoka shule kwenda kazini mara nyingi zaidi huwa bila mafanikio na vijana wanaishia kuwa ama wasio na kazi au wenye kazi duni zisizo rasmi katika maeneo ya vijijini, mijini midogo na mijini.

영어

as a result, the transition from school to work is more often than not unsuccessful and youth end up either unemployed or underemployed in the rural, suburban and urban informal sectors.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

moja wapo ya malengo makuu ni kupata uelewa wa mabadiliko ya hali ya maisha vijijini na athari zinazotokana na hatua za wananchi na matatizo ya nje kwenye hali za maisha.

영어

one of the principal objectives is to gain an understanding of the evolution of the situation in rural households and the impact that public measures and external shocks have on these households.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tuliweza kufanya mbolea na mbegu za ruzuku zenye viwango vya juu zipatikane kwa wakulima wetu wa vijijini na kuanzisha ges (msaada wa uwezeshaji wa kuimarisha) mwezi aprili ya 2012.

영어

we were able get subsidized high quality fertilizer and seeds to our rural farmers by introducing the ges (growth enhancement support) scheme in april of 2012.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tarehe 14 februari, timu ya misheni iliyoongozwa na who na uchina ilianzishwa kutoa wataalam wa kimataifa na wa who uchina kusaidia katika udhibiti wa taifa na kutathmini :kiwango na usambazaji wa ugonjwa" kwa kusimamia warsha na mikutano na taasisi muhimu za taifa na kutembelea maeneo tofauti kutathmini "athari za shughuli za mwitikio katika viwango vya mikoa na kitaifa, ikiwemo sehemu za vijijini na mijini.tarehe 25 februari, who ilitangaza kuwa "ulimwengu yafaa kufanya zaidi na kujitayarisha kwa uwezekano wa kuwepo kwa janga la virusi vya korona," wakisema kuwa ilhali ilikuwa bado mapema kuliita janga, nchi hata hivyo zinafaa kuwa katika "hali ya kuwa tayari".

영어

on 14 february, a who-led joint mission team with china was activated to provide international and who experts on the ground in china to assist in the domestic management and evaluate "the severity and the transmissibility of the disease" by hosting workshops and meetings with key national-level institutions and to conduct field visits to assess the "impact of response activities at provincial and county levels, including urban and rural settings".on 25 february, the who declared that "the world should do more to prepare for a possible coronavirus pandemic," stating that while it was still too early to call it a pandemic, countries should nonetheless be "in a phase of preparedness".

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,770,546,832 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인