검색어: waandaaji (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

waandaaji

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

waandaaji walieleza hivi:

영어

the organisers explained:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa mujibu wa waandaaji wa mkutano huo:

영어

according to its organizers:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

waandaaji wakuu wa maandamano hayo wamewasihi waandamanaji kurudi tena ifikapo saa 4 usiku.

영어

key protest organizers have urged protesters to retreat at around 10 p.m.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

btan anaamini kuwa waandaaji walishindwa kukusanya saini za kutosha kwa sababu kampeni hiyo haiungwi mkono kwa dhati na umma

영어

btan believes the organizers failed to gather enough signatures because it lacks genuine public support

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

waandaaji walihitaji siku 15 ili kuandaa viwanja kwa ajili ya paralympiki mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya london olympiki, 2012.

영어

the organizers needed 15 days after the london 2012 olympics to rearrange and make infrastructures accessible.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

japo huu sio mradi wa kwanza wa aina hii huko afrika ya kusini, waandaaji wanasema haya ni matumizi makubwa zaidi ya simu za viganjani yaliyowahi kujaribiwa ili kutuma taarifa za afya.

영어

though this is not the first of such projects in south africa, organizers say it's the largest use ever of mobile phones for sending health information.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

waandaaji wa masihara haya ni jamaa wanaoitwa the yes men ambao wamepata hadhi ya uhalifu wa kidunia kwa kuyadhalilisha mashirika na serikali, mara nyingi kwa kutoa matamko ya uwongo kwa kutumia majina yao.

영어

there's still no official confirmation of who is behind the prank, but it closely resembles previous actions by the organizers of the prank are the yes men who've earned global notoriety for publicly humiliating corporations and governments, often by putting out false statements in their name.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

waandaaji wa tukio hilo, septemba 8 na jukwaa la macedonia kupinga umasikini, wanadai mabadiliko katika sheria za ustawi wa jamii ili kuwapatia kipato cha kumudu maisha raia wa macedonia waliomasikini kabisa.

영어

organizers of the event, 8th of september and the macedonian platform against poverty, are demanding a change in social welfare laws to provide decent basic income for macedonia's poorest citizens.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

siku ilianza kwa kishindo, wakati waandaaji wa global voices sami ben gharbia, amira al hussaini, na wafadhili wetu kutoka mfuko wa heinrich böll waliwakaribisha washiriki kutoka kote uarabuni na nje ya mipaka.

영어

the day started off with a bang, as global voices organizers sami ben gharbia, amira al hussaini, and our sponsors from the heinrich böll foundation welcomed participants from across the arab world and beyond.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hii imepelekea kuandaliwa kwa matoleo mawili ya video yaliyowahusisha waandaaji kadhaa wa filamu ambao ni wazawa na pia, zikiwa zimesheheni habari za kipekee za kijamii, kitamaduni, pamoja na hali ya kisiasa ya papua ya magharibi.

영어

the result was a two-volume video featuring various local filmmakers and unique stories about the social, cultural, and political situation in west papua.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

waandaaji wa tuzo za blogu nchini kenya 2014, ambao ni umoja wa wanablogu nchini humo (bake) kwa sasa wanakaribisha mapendekezo ya wawaniaji wa tuzo hizo mpaka februari 10, 2014.

영어

the 2014 bake kenyan blog awards is now accepting submissions until february 10, 2014.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

habari mpya kutoka kwa waandaaji wa maandamano, waliopewa jina la utani la "makao makuu ya euromaian", wanaweza kufuatiliwa katika ukurasa wao wa facebook katika lugha ya kiingereza:

영어

updates from the organizers of the protests, dubbed euromaidan headquarters, can be followed on their facebook account in english:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

waandaaji, wachapaji na wasambazaji wa kazi zenye mambo ya kishoga hasa kama ni biashara, asasi hiyo isiyo ya kiserikali (azise) itafutiwa leseni ama usajili wake na mkurugenzi wake atakabiliwa na kifungo cha miaka saba jela.

영어

producers, publishers and distributors of material containing homosexuality especially if a business, an ngo will have its certificate or registration canceled and the director will face seven years in prison.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,743,026,613 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인