검색어: wagombea (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

wagombea

영어

wagombea

마지막 업데이트: 2024-01-16
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wagombea wa urais katika uchaguzi wa madagaska

영어

surprise candidates for madagascar elections · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa nini kuna wagombea wanne tu wakati wapo wapatao 18 wanaogombea?

영어

why are there only 4 candidates when there are about 18 contesting?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

matangazo yanayowanadi wagombea yanaweza kutubashiria ushindani ni mkubwa wakati huu.

영어

the hype that is there perhaps suggests that this time around the contest is high.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wapiga kura walihitajika kujipanga kwenye mstari nyuma ya wagombea waliowaunga mkono.

영어

voters were required to line up behind the candidates they supported.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

raia wa mtandaoni kadhaa walitwiti kuhusu mjadala wa pili wa rais na waliwakejeli wagombea.

영어

several netizens tweeted about the second presidential debate and made laugh of candidates.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

potkin azarmehr alitwiti "wagombea urais wanaweza kuombwa kucheza muziki."

영어

potkin azarmehr tweeted "pres candidates may be asked to play musical chairs next."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

tathmini ya majukwaa ya wagombea wote wa uchaguzi wa 2013 na madatsara (kwa ruhusa)

영어

review of all candidates platforms for 2013 elections by madatsara (with permission)

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

inamaanisha, chunguza wagombea wote kutoka katika eneo lako kabla ya kuamua ni nani wa kumpigia kura.

영어

meaning, check out all the candidates from your area before you decide who to vote for.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

habari mpya: hapa ni orodha kamili ya wagombea 49 wanaowania nafasi ya urais katika uchauzi ujao.

영어

update: here is the full list of the 49 candidates for the presidential elections.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini kudai tarifa za kiafya za wagonbea ni upuuzi kama ilivyo kutaka wagombea wawe na kiwango fulani cha elimu.

영어

but demanding medicals for candidates is as ridiculous as demanding that candidates be of a certain level of education.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tovuti ya ki-malagasi iitwayo madatsara imetengeneza tovuti utakayotumika kama majukwaa ya kuwapima wagombea wote wa urais .

영어

malagasy website madatsara created a comparison website to review every presidential candidates platforms .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi ya wagombea wanadai wameshinda kabla ya uchaguzi; wana maana kwamba wakuu wa taasisi zinazoendesha uchaguzi ni vibaraka wao.

영어

some candidates proclaim victory before the elections; they imply that the heads of the institutions which run the elections are obedient.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwenye blogu ya picha ya zoherpix tunaona jinsi waunga mkono wa mahmoud ahmadinejad na wale wa mir hussein mousavi wanavyopepea picha za wagombea wanaowapenda:

영어

in zoherpix photo blog we see how mahmoud ahmadinejad's and mir hussein mousavi's supporters are waving the photos of their favorite candidates:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

el basero amapendekeza mashine mpya ambayo itachanganya na kuoanisha sifa za wagombea, na majina yatakayotoka baada ya mchanganyiko huo yatakuwa sawia kwa hali ya kisiasa ya costa rica.

영어

el basureo proposes a new machine which will mix and match characteristics of the candidates, and the names that come off those mixes are a wink and nod to the costarican political situation.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

macho makali ya wanablogu-wapiga picha yamenasa nyakati na taswira katika mitaa ya irani ambako watu waliwapigia debe wagombea wanaowapenda pamoja na madai yao ya kisiasa.

영어

the sharp eyes of blogger-photographers have captured moments and scenes in the streets of iran where people promote their favorite candidates and political demands.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama mpango huu utasambazwa nchini kote na kuruhusu watu wenye simu za mkononi kutuma maswali yao na kupokea majibu kutoka kwa wagombea, hatua hiyo itakuwa yenye manufaa sana katika kuwashirikisha waafrika ya kusini wote.

영어

if something similar could be rolled out nationwide allowing people with just a mobile phone to post questions and receive responses from party candidates this could prove very useful in engaging all south africans.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

chama cha umoja cha urusi (urp), na wagombea wengine ambao walikuwa ni mashabiki wa putin, walijizolea kura nyingi katika nafasi mbalimbali.

영어

the united russia party, and other pro-putin candidates, took the lion’s share of the votes in most races.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

...itakuwa vizuri kama tume ya mpito ya uchaguzi na kura ya maoni ya tajikistan (ccert) kuwataka wagombea wote wa urais kutangaza mapato yao ya kila mwaka na vyanzo vyake ...

영어

...t would be good if the central commission for elections and referendums of tajikistan (ccert) demanded that all presidential candidates declare their annual income and its sources...

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lungu aliwashinda wagombea wengine 10, akishinda kwa asilimia 1.66 mbele ya mpinzani wake mkuu, hakainde hichilema wa chama cha upinzani cha upnd, na kuwa rais wa sita wa zambia tangu uhuru kutoka kwa uingereza mwaka 1964.

영어

lungu beat 10 other candidates, scraping by just 1.66 per cent over the nearest rival, opposition upnd’s hakainde hichilema, to become zambia’s sixth president since independence from britain in 1964.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,742,985,294 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인