인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.
전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
tuonane wakati mwingine
see you again
마지막 업데이트: 2023-07-26
사용 빈도: 1
품질:
ninateseka wakati mwingine.
i still suffer sometimes.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
nimemaliza leo tukutane wakati mwingine
마지막 업데이트: 2024-04-03
사용 빈도: 1
품질:
na tunatarajia wakati mwingine tutakapokutana tena
i’m picking out the songs now
마지막 업데이트: 2022-12-09
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
hadi wakati mwingine, habari ya ali inapaswa kusikika.
till then ali's story needs to be heard.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
mapambano, wakati mwingine makabiliano, mafaniniko mara nyingi.
the fight, sometimes defeat, often success.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
wakati mwingine huwezi kuelezea kile unachohisi ndani ya kiswahili
sometimes you can't explain what you feel inside in swahili
마지막 업데이트: 2023-09-10
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
nilitukanwa sana na hata wakati mwingine kupata vitisho vya kuuawa.
i received many insults and a few death threats.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
leo polisi walikuwa wakatili zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
today, the police was more violent than ever.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
wakati mwingine nyani huliwa na watu waishio porini nchini madagaska.
monkeys are sometimes eaten as bushmeat in madagascar.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
na wakati mwingine, mipaka kati ya maslahi binafsi na ya umma haiko wazi.
and sometimes, the boundaries between private and public interests are not even clear.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
ninajivunia kufanya kile ninachoweza kukifanya ; wakati mwingine ninashangaa kwa kile ninachoweza kufanya...
i'm proud that i'm doing what i can & sometimes surprise myself with what i'm capable of .." #freealaa https://t.co/llylbph5wp — ahdaf soueif (@asoueif) october 26, 2015
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
dini ina nguvu sana, wakati mwingine zaidi ya wakati ambao taifa linakubali kusaidiwa na dini.
religion is very powerful, sometimes more than the state such as when the state has to accept the help of religion.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kwa muda kidogo, unajifanya gatsbu, wakati mwingine muuza maziwa na wakati mwingine mpanda mlima.
for a while, you are a gatsby, some other times, a cowboy or a mountaineer.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
wakati kikundi cha soga kwenye mtandao wa wechat bado kipp, tukio hilo linafanyika wakati mwingine nje ya mtandao.
while the wechat group is still active, the event is also taking on a second life in the offline world.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
@gepril1: wakati mwingine kabla ya kuingia mitaani, kila mmoja lazima akubaliane na marafiki zake.
@gepril1: before you take to the streets next time, everyone should agree with his friends.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
mtu ambaye alipenda kuwa peke yake wakati mwingine, lakini pia alipenda kukaa na marafiki wengi aliokuwa nao wakati wa uhai wake.
a man who liked to be alone sometimes, but also appreciated the company of the many friends he made during his life.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kwa wakati mwingine utakuta kuwa tembe hizo, hata kama hazina viungo vinavyofanya kazi, huwa ni makosa ambayo hayakutarajiwa katika kampuni.
“if you just have the tablets or the capsules, even if they have no active ingredient, it still could have been an innocent mistake in the factory.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
nina furushi la kutenda ninayosema, wakati mwingine kusema ninayotenda, lakini mara zote mtu mkweli mwenye bashasha ambaye ungependa kuwa naye!”
got a swag to walk the talk, talk the walk sometimes, but always a down to earth and sensational individual to be around!’
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kila kundi linapowekwa kizuizini, kikundi kingine kinaingia uwanjani...serikali, na wakati mwingine nchi, hubadilika, lakini watu wake hubaki.
every time a group is imprisoned, another group will come out... governments, and sometimes countries, change, but the people remain.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인: