검색어: wakati ule nilipotea (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

wakati ule nilipotea

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

aliisalimia dunia wakati ule kwa maneno haya:

영어

she greeted the world back then with these words:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hasa wakati ule tovuti yetu ilipotangazwa kwenye gazeti la serikali.

영어

especially when toc was gazetted.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maoni yaliyotumwa kwenye mtandao wa intaneti yalikuwa tofautitofauti kwa wakati ule.

영어

comments in the internet were quite mixed at that time.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kutoka wakati ule, wengi wa wafuasi wake walirudi walikotoka, wasiandamane naye tena.

영어

from that time many of his disciples went back, and walked no more with him.

마지막 업데이트: 2013-11-11
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa.

영어

whereby the world that then was, being overflowed with water, perished:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati huo wote yuko chini ya walezi na wadhamini mpaka wakati ule uliowekwa na baba yake.

영어

but is under tutors and governors until the time appointed of the father.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sina tatizo kwamba nimetalikiwa, lilikuwa ni jambo sawa kufanya wakati ule na sijuti asilani.

영어

i have no problem being divorced, it was the right thing to do at the time and i never regret it.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati ule wanafunzi walimwendea yesu, wakamwuliza, "ni nani aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni?"

영어

at the same time came the disciples unto jesus, saying, who is the greatest in the kingdom of heaven?

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

samahani kaka jana nilikuwa siko sawa kuna matatizo nilishindwa nifanye nini kwa wakati ule nilijikuta nalia ndomana nikakupigia ila saivi niko sawa usijali kuhusu mimi

영어

sorry brother yesterday i was not okay there are problems i failed to do what i did at that time i found myself crying and i called you but saivi i am okay don't worry about me

마지막 업데이트: 2023-10-22
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jambo pekee tunalojua kwa hakika kuhusu kile kilichotokea nchini madagaska mwaka mmoja uliopita ni kuwa tungeliweza kumtumia mtu kama dkt. king wakati ule.

영어

the only thing we know for sure about what really happened in madagascar a year ago is that we could have used a dr. king back then.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kinachokufanya ucheke na kulia kwa wakati ule ule ni kwamba kwenye uchaguzi huu, uliokuwa na wagombea wawili tu, hamdeen kawa wa tatu baada ya idadi ya kura zilizotangazwa kuharibika

영어

what makes you laugh and cry at the same time is that in elections, with only two candidates, hamdeen is in third place after the votes that have been declared void

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wahudhuriaji walikuwa wa aina tatu na kwa wakati ule ule: watu wa gulu kaskazini mwa uganda, wabunge wanawake wa uganda na watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini uganda.

영어

three audiences participated in the chat in real time: the people of gulu in northern uganda, female members of parliament and uganda's social media audience.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hiyo inahitaji kuamini kwa kiasi fulani, kwa sababu karibu wakati ule ule alipokuwa anatoa taarifa yake kwa waandishi wa habari, timu ya wapasuaji ya kigeni inayojihusisha na kazi za kibinadamu walisema jambo lililotofautiana na matamshi yake.

영어

that takes some believing, because almost at the same time as he was issuing that press statement, a team of foreign surgeons engaging in humanitarian work inadvertenlty contradicted it.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea yuda wa galilaya. huyu naye, aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.

영어

after this man rose up judas of galilee in the days of the taxing, and drew away much people after him: he also perished; and all, even as many as obeyed him, were dispersed.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati ule ninyi mlikuwa bila kristo; mlikuwa nje ya jamii ya israeli; mlikuwa wageni na hamkuwa na sehemu yoyote katika lile agano la zile ahadi. mlikuwa bila matumaini mungu hapa duniani.

영어

that at that time ye were without christ, being aliens from the commonwealth of israel, and strangers from the covenants of promise, having no hope, and without god in the world:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

yesu akawajibu, "jihadharini, msije mkadanganyika. maana wengi watatokea na kulitumia jina langu wakisema: mimi ndiye, na, wakati ule umekaribia. lakini ninyi msiwafuate!

영어

and he said, take heed that ye be not deceived: for many shall come in my name, saying, i am christ; and the time draweth near: go ye not therefore after them.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kama itakumbukwa, wakati ule chama kikubwa cha upinzani, unita, kilishindana katika uchaguzi na mapigano yalizuka, yakapelekea kuibuka tena kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilimalizika miaka kumi baadaye, na kifo cha kiongozi mwenye mvuto mkubwa wa chama hicho, jonas savimbi.

영어

as a reminder, at that time the largest opposition party, unita, contested the polls and fighting broke out, leading to a resumption of the civil war that ended ten years later, with the death of the charismatic leader of that party, jonas savimbi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tutakuwa na mambo kama ngozi ya kathleen bomani kutoka human skin, filadefia ya miaka ya 1880 na tutakuwa na mambo mengi, kama vile utawala wa kikatili wa uingereza kwenye miaka ya 1950 nchini kenya na hata wakati ule serikali ya afrika kusini ilipotuma ujumbe kwenda marekani kutafuta kujua namna "kuweka nafasi za mahotelini/ndege" kunavyofanyika.

영어

we featured stuff like kathleen bomani’s leather from human skin in 1880s philadelphia and pulled together a wide range of material, from britain’s mass torture regime in 1950s kenya to that time the south african government sent a delegation to the usa to find out how “reservations” worked.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,760,938,657 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인