전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
lakini chakula kigumu ni kwa ajili ya watu waliokomaa, ambao wanaweza kubainisha mema na mabaya.
but strong meat belongeth to them that are of full age, even those who by reason of use have their senses exercised to discern both good and evil.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
ndugu, msiwe kama watoto katika fikira zenu. kuhusu uovu muwe kama watoto wachanga lakini katika kufikiri ni lazima muwe kama watu waliokomaa.
brethren, be not children in understanding: howbeit in malice be ye children, but in understanding be men.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani, wala si ya watawala wa dunia hii ambao wako katika mkumbo wa kupotea.
howbeit we speak wisdom among them that are perfect: yet not the wisdom of this world, nor of the princes of this world, that come to nought:
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질: