검색어: wanaohitaji (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

wanaohitaji

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kuna wengi wanaohitaji kuangalia kwa kina zaidi.

영어

there are many who need to look a little further.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ramani hiyo huoanisha vituo vya kupokelea damu na watu wanaohitaji kujitolea damu, vifaa vya kitabibu au wafanyakazi wa afya.

영어

the map matches blood location centers with people willing to help with donation, medical instruments or medical personnel.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mtandao wa ushahidi umetengeneza ramani shirikishi inayotanda juu ya taarifa za vitisho, watu wanaohitaji misaada, huduma za matibabu, chakula pamoja na misaada mingine.

영어

the ushahidi network has created a very detailed interactive map overlaying information on threats, people needing assistance, medical care, food and other aid availability by type.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kukosa kufanya hivyo, kuna uwezekano wa mifumo ya tiba ya afya ya nchini nyingine za eu/eea kukabiliwa na ongezeko la wagonjwa wanaohitaji tiba ya kina ndani ya siku au wiki zijazo.

영어

failing this, it is likely that the healthcare systems of other eu/eea countries will face a surge of patients that require intensive care within the coming days or weeks.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

badala ya kuwakomboa wasomali halisi, wanaohitaji na wanaoendelea kuishi nchini mwao na kuendelea kuiendeleza nchi yao wenyewe na jamii zao ndani ya somalia, rasimu hii ya katiba inaonekana kuwa ilani ya kuwakumbatia wageni na pia kuwakandamiza milele wazawa wa somalia.

영어

instead of liberating the true somalis, who need and want to continue living in and developing their own country and their communities inside somalia, the planned constitution appears as the manifestation of the shackles of foreign as well as internal oppression of the indigenous somali people in perpetuity.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tajiri mwingine mashuhuri sana, u zaw zaw, ambaye ni rais wa shirikisho la soka la myanmar alitangaza kuwa atachangia tiketi 1,000 za ndege kwa wote wanaohitaji kurudi nchini myanmar, pamoja na kuchangia dola za kimarekani 20,000 kampung ffss.

영어

another well-known wealthy personnel, u zaw zaw, who is president of myanmar football federation announced that he will donate 1,000 air tickets for those who want to go back to myanmar, plus additional $20,000 us dollars donation to kampung ffss.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

heko kwa makanisa ya kweli ya kikatoliki lakini vile vilikuwa “vivutio vya umisheni” (lakini) shirika la ndege la dominion ni la kibiashara, ninapata tabu kuona namna gani linaweza kuwasaidia moja kwa moja wale wanaohitaji “msaada” katika jamii. ni kama mtu anayenzisha casino na kudai “ninajaribu kuwasaidia watu kuwa matajiri”

영어

thumbs up to the true catholics but those are ‘mission amenities’ a dominion airline is a commercial establishment, i find it difficult to see how it would directly affect those who really need ‘help’ in a community, its just like someone opening a casino and going like “i’m trying to help people become rich ”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,740,239,205 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인