검색어: yamesababisha (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

yamesababisha

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

matokeo ya siku hiyo yamesababisha maandamano yaliyopata umaarufu mkubwa.

영어

the consequences of that day have led to extending the popular demonstrations.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

matamshi ya mugabe yamesababisha joto la maoni mbalimbali kwenye mtandao wa twita.

영어

mugabe's comments have received mixed reactions on twitter.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwanablogu wa algeria adel anatoa muhtasari wa mlolongo wa matukio ambayo yamesababisha mzozo.

영어

algerian blogger adel , sums up the chain of events that led to the row.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, matatizo yanayoendelea ya uchumi yamesababisha madhara mengi katika maeneo mengine.

영어

however, the continuing economic problems have created a ripple effect in other areas.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maandamano hayo ya upinzani mpaka sasa yamesababisha vifo vya watu watano na na dazeni wengine kujeruhiwa kwa risasi.

영어

the protests have so far left five people dead and dozens injured with bullets.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, mabadiliko haya yamesababisha dawa zisizo za dharura za kupanga uzazi kuhitaji kwanza ushauri wa daktari kabla ya kutumiwa.

영어

however, it has made non-emergency oral contraceptives, which were over the counter in the past, prescription-only drugs.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

idadi kubwa ya waandamanaji wanaojitokeza mitaani na kudai mageuzi serikalini yamesababisha ushiriki wa wanawake kupanda na kufikia ncha ya mizani katika nchi ambamo ni hatari kupinga mamlaka waziwazi.

영어

the massive number of protesters taking to the streets demanding government reforms has created a tipping point for women’s civic participation in a country where it is risky and dangerous to demonstrate against the authorities.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuna madai yote haya kuhusu hitaji la kikatiba la asilimia 50 jumlisha kura moja na hitaji la mgombea mwenza bila kuzingatia kuwa mambo haya yanapokuwa kwenye katiba yamesababisha matatizo mengine zaidi kuliko majibu ambayo vingetoa kwa jamii.

영어

there are all these demands about 50 percent plus one constitutional provision, running mate constitutional provision without taking into account that where these provisions obtain they have caused more problems than the solutions they should have brought about to society.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa zaidi ya juma moja, wa-venezuela wamekuwa wakishiriki maandamano ambayo, mpaka sasa, yamesababisha vifo nane, mamia ya majerhi na mamia wakiwekwa kizuizini.

영어

for more than a week, venezuelans have been involved in mass protests that, until now, have caused eight deaths, hundreds of injuries and hundreds of arrests.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwanablogu dunia duara ametengeneza orodha (haijakamilika bado) ya matukio yaliyochochewa na migogoro mbalimbali, ambayo kwa siku za karibuni yamesababisha matatizo makubwa nchini tanzania:

영어

blogger dunia duara made a (not complete) list of events fuelled by different kinds of crises or conflicts, which recently have caused serious problems in tanzania:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika kile ambacho baadhi ya wataalamu wa miamba wamekieleza kama matukio ya nadra, wilaya ya kaskazini ya karonga nchini malawi imeshuhudia jumla ya matetemeko ya ardhi 30 katika wiki tatu zilizopita ambayo yamesababisha vifo 5, zaidi ya watu 200 kujeruhiwa na zaidi ya watu 3,000 kupoteza makazi.

영어

in what some geologists have described as rare occurrences, malawi's northern district of karonga has in the past three weeks experienced a total of 30 earthquakes resulting in at least 5 deaths, over 200 people injured and over 3,000 made homeless.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

matumizi ya neno "kukaa mbali ya jamii" yamesababisha mintaarafu kwamba watu wanapaswa kujihusisha kwa kujitenga kijamii kikamilifu, kuliko kuwahimiza kuendelea kugusana na wengine kupitia njia mbadala.baadhi ya mamlaka zimetoa miongozo ya afya ya ngono ya kutumia wakati wa janga kubwa.

영어

the use of the term "social distancing" had led to implications that people should engage in complete social isolation, rather than encouraging them to stay in contact with others through alternative means.some authorities have issued sexual health guidelines for use during the pandemic.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,770,626,218 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인