검색어: maradhi (스와힐리어 - 프랑스어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

French

정보

Swahili

maradhi

French

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

프랑스어

정보

스와힐리어

nyoyoni mwao mna maradhi, na mwenyezi mungu amewazidishia maradhi.

프랑스어

il y a dans leurs cœurs une maladie (de doute et d'hypocrisie), et allah laisse croître leur maladie.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na ingiza mkono wako katika mfuko wako, utatoka mweupe bila ya maradhi.

프랑스어

et introduis ta main dans l'ouverture de ta tunique.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

athari ya maradhi haya na kiwango chake cha vifo ni tofauti kwa wanaume na wanawake.

프랑스어

l’impact de la pandémie et le taux de mortalité sont différents chez l’homme et chez la femme.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama mnamcha mungu basi msiregeze sauti zenu, akaingia tamaa mwenye maradhi katika moyo wake.

프랑스어

si vous êtes pieuses, ne soyez pas trop complaisantes dans votre langage, afin que celui dont le cœur est malade [l'hypocrite] ne vous convoite pas.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

je! wenye maradhi nyoyoni mwao wanadhani kwamba mwenyezi mungu hatazidhihirisha chuki zao?

프랑스어

ou bien est-ce que ceux qui ont une maladie au cœur escomptent qu'allah ne saura jamais faire apparaître leur haine?

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini inaonekana kwamba miundo mbinu ya afya nchini madagaska haitaweza kuhimili mlipuko wa maradhi hayo kama utatokea.

프랑스어

il semble pourtant que les infrastructures sanitaires malgaches ne pourront faire faire face à une propagation brutale de la maladie.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sandhya, anayeblogu kwenye maradhi manni nchini india, anasema wanaume wengi hawatumii vyoo vilivyopo:

프랑스어

sandhya, du blog indien maradhi manni, explique que beaucoup d’hommes n’utilisent pas les toilettes dont ils disposent :

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ama wale wenye maradhi katika nyoyo zao, basi inawazidishia uovu juu ya uovu wao; na wanakufa hali ni makafiri.

프랑스어

mais quant à ceux dont les cœurs sont malades, elle ajoute une souillure à leur souillure, et ils meurent dans la mécréance.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na walipo sema wanaafiki na wale wenye maradhi katika nyoyo zao: mwenyezi mungu na mtume wake hawakutuahidi ila udanganyifu tu.

프랑스어

et quand les hypocrites et ceux qui ont la maladie [le doute] au cœur disaient: «allah et son messager ne nous ont promis que tromperie».

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ugonjwa huo unaweza kuwa na dalili chache au usiwe na dalili yoyote, unaofanana na ugonjwa mwingine wa kawaida wa maradhi ya kupumua kama vile mafua.

프랑스어

la maladie peut avoir une évolution modérée avec peu ou pas de symptômes, ressemblant à d’autres maladies communes des voies respiratoires comme le rhume.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

je! wana maradhi katika nyoyo zao, au wanaona shaka, au wanaogopa ya kuwa mwenyezi mungu na mtume wake watawadhulumu?

프랑스어

y a-t-il une maladie dans leurs cœurs? ou doutent-ils ? ou craignent-ils qu'allah les opprime, ainsi que son messager?

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hayo ni ili alifanye lile analo litia shet'ani liwe ni fitna kwa wale wenye maradhi ndani ya nyoyo zao, na wale ambao nyoyo zao ni ngumu.

프랑스어

afin de faire, de ce que jette le diable, une tentation pour ceux qui ont une maladie au cœur et ceux qui ont le cœur dur...

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama wanaafiki na wale wenye maradhi nyoyoni mwao, na waenezao fitna katika madina hawatoacha, basi kwa yakini tutakusalitisha juu yao, kisha hawatakaa humo karibu yako ila muda mchache tu.

프랑스어

certes, si les hypocrites, ceux qui ont la maladie au cœur, et les alarmistes [semeurs de troubles] à médine ne cessent pas, nous t'inciterons contre eux, et alors, ils n'y resteront que peu de temps en ton voisinage.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

shirika la afya duniani linaripoti kwamba maradhi haya hatari zaidi kwenye historia ya homa inayosababishwa na virusi tayari imepoteza maisha ya watu zaidi ya 2,800 kati ya wagonjwa 5,833 kufikia tarehe 20 septemba.

프랑스어

les nations unies signalent que l'épidémie la plus grave de l'histoire de cette fièvre hémorragique a déjà tué plus de 2 400 personnes sur 4 784 cas (au 15/09).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kutokana na changamoto hizi, takribani mtu mmoja kati ya watu wanne (sawa na asilimia 23) wanaosumbuliwa na maradhi hawakuweza kupata huduma ya matibabu kwa kuwa hawakuwa na fedha za kulipia.

프랑스어

ansi une personne sur quatre (23 %) ayant souffert d’une maladie n’a pas cherché à se faire soigner dans un centre de santé parce qu’elle ne pouvait pas payer les dépenses.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

waziri mkuu ameamua kupuuza tahadharani za wanasayansi, akitegemea zaidi taarifa za sehemu za udhibiti kwenye viwanja vya ndege, akisema kwamba mazingira ya afya ya umma nchini madagaska yamelindwa kwa sababu ya kutokuwepo kwa ndege zinazoingia nchi humo kutoka kwenye maeneo yanayokabiliwa na mlipuko wa maradhi hayo.

프랑스어

le pm choisit d'ignorer les alertes scientifiques et s'en remet aux contrôles aéroportuaire, notant que l'espace sanitaire malgache est protégé par l'absence de vols directs en provenance des zones atteintes par le virus.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

inakisiwa kwamba maradhi ya mafua ya mwaka wa 1890 yanaweza kuwa yalisababishwa na tukio hili ya kuruka kwenda kwenye spishi nyine, lakini sio virusi vya mafua, kwa sababu ya muda husika, dalili za nyurolojia, dalili zingine zisizojulikana za ugonjwa huo.

프랑스어

on suppose que l’épidémie de grippe de 1890 pourrait avoir été causée par cet événement contagieux et non par le virus de l’influenza compte tenu du timing, des symptômes neurologiques et de l’agent causal inconnu de la pandémie.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ntampata wapisura yake mtaratibu  mwenye macho ya aibu  kumsahau najaribuu.  ila namkumbuka sanaa  umbo lake mahbibu  kwenye maradhi alionitibu  siri yangu ukaribuu  bado namumbuka sanaa  alionifanya silali, jua kali  nitafute tukale  lakini hata hakujali darling  akatekwa na walee  alionifanya silali, jua kali  nitafute tukale  ila wala hakujali  darling--ah, aaa.  ntampata wapi kama yule  niliompendaga saana  ntampata wapi kama yule  nae anipende sana  ntampata wapi kama yule  niliompendaga saana  ntampata wapi kama yule  nae anipende sana  aii, aii nyotaa ahh  nyota ndo tatizo langu  aii nyota ahh  hadi nalia pekee yangu  aii nyota ahh  nyota ndio shida yangu  nyota ahh  wamenizidi wenzangu  alidanganywa na wale (walee)  wenye pesa nyumba gaari (gaari)  mi kapuku hakunijali (jaali)  akanimbiaa  alidanganywa na wale (walee)  wa mapesa nyumba gaari (gaari)  mi mnyonge hakunijali (jaali)  akanikimbiaa  alionifanya silali, jua kali  nitafute tukale  lakini hata hakujali darling  akatekwa na walee  alionifanya silali, jua kali  nitafute tukale  ila wala hakujali  darling--ah, aaa.  ntampata wapi kama yule  niliompendaga saana  ntampata wapi kama yule  nae anipende sana  ntampata wapi kama yule  niliompendaga saana  ntampata wapi kama yule  nae anipende sana  bado ananijia ndotoni (baado)  kila nikiamka simwoni (baado)  bado anjia nikilalaa  haki ya mungu sio masialaa  bado ananijia ndotoni (baado)  kila nikiamka simwoni (baado)  bado anjia nikilalaa  haki ya mungu sio masialaa  detached flavour (baado)  hii ni sauti ya raisi  iliomshindaga ibilisi  kwa mwanadamu sio rahisi  kamwambie...  lazima ujue kutofautisha  kati ya msalaba na jumlisha  kuna x ya kuzidisha  ni cheche (cheche.)  bado ananijia nkilalaa.  haki ya mungu sio masialaa Écoutez "ntampata wapi"

프랑스어

où je le trouve

마지막 업데이트: 2020-06-20
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,765,601,997 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인