검색어: compañía (스페인어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Spanish

Swahili

정보

Spanish

compañía

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스페인어

스와힐리어

정보

스페인어

¡qué buena compañía!

스와힐리어

na uzuri ulioje kuwa pamoja na watu hao!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

¡compañía de genios y de hombres!

스와힐리어

enyi makundi ya majini na watu!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

incluso una compañía it quiso patrocinar su proyecto.

스와힐리어

pia alipata habari kuwa kuna kampuni moja ya teknolojia ya mawasiliano ilitaka kumfadhili.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

en particular, tomar bebidas alcohólicas en compañía cuestionable.

스와힐리어

kiuhalisia, mwanamke hapaswi kunywa pombe iliyotengenezwa na makampuni yasiyoeleweka.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

safaricom fue la primer compañía en kenia en ofrecer transferencias de dinero móviles.

스와힐리어

safaricom ilikuwa kampuni ya kwanza nchini kenya kutoa huduma ya miamala ya kibenki.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

la política podría venir de un gobierno, un organismo regulador internacional o compañía tecnológica.

스와힐리어

sera zaweza kuwa zile zinazotungwa na serikali, vyombo vya kimataifa au hata makampuni ya kiteknolojia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

entonces los soldados del procurador llevaron a jesús al pretorio y reunieron a toda la compañía alrededor de él

스와힐리어

kisha askari wa mkuu wa mkoa wakamwingiza yesu ndani ya ikulu, wakamkusanyikia kikosi kizima.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

entonces la compañía de soldados, el comandante y los guardias de los judíos prendieron a jesús y le ataron

스와힐리어

kile kikosi cha askari, mkuu wake na walinzi wa wayahudi walimkamata yesu, wakamfunga

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

samuel gikuru cuestionó los motivos de safaricom e incluso acusó a la compañía de robarle la idea a un keniano:

스와힐리어

samuel gikuru alikuwa na wasiwasi na nia ya safaricom na hata akaituhumu kampuni hiyo kuiba wazo la mkenya alibuni huduma hiyo:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

no me gustaría volar en aviones de boeing a menos que la compañía pueda explicar como todo su sistema puede fallar o ser deshabilitado.

스와힐리어

sitapenda tena kupanda ndege ya boeing mpaka waeleze kwa nini mifumo yake yote inaweza kuzima kienyeji au kushindwa kufanya kazi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

además, la policía mandó a la compañía de metro a cerrar la estación marítima para desplegar más policías antidisturbios y respaldar la operación.

스와힐리어

zaidi, polisi wametoa maagizo kwa kampuni ya treni kusitisha safari za kwenda admiralty ili kuwaruhusu polisi zaidi kwenye eneo hilo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

mheshimiwa fue filmado entrando en el edificio después de la jornada en compañía de un miembro del personal del parlamento y rociando una sustancia desconocida en cada uno de los asientos de los diputados.

스와힐리어

mheshimiwa alinaswa na kamera hizo zilizomuonesha akiingia bungeni masaa kadhaa baada ya kusindikizwa na mfanyakazi wa bunge na kisha kuonekana akinyunyiza kitu kwenye viti vyote vya wabunge.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

fábrica de caramelos de la compañía azucarera senegalesa (senegal). de wikipedia, por manu25, bajo licencia de creative commons.

스와힐리어

kiwanda cha kampuni ya sukari ya senegal picha ya manu25 kutoka wikipedia chini ya leseni creative commons

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

azafatas de la aerolínea asiana, una de las más grandes aerolíneas de la nación, mantuvieron una conferencia de prensa frente al edificio kumbo asiana acusando a la compañía de tener reglas sexistas en cuanto a la apariencia de las azafatas.

스와힐리어

wahudumu wa kike wa moja ya mashirika makubwa ya ndege ya taifa hilo, shirika la ndege la asiana, , waliitisha mkutano na waandishi wa habari mbele ya jengo la kumho asiana wakiituhumu kampuni hiyo kwa kuwa na sharti la ubaguzi wa kijinsia kuhusu namna wahudumu wanawake wanavyopaswa kuonekana.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

a partir del 11 de abril 2014 a las 3 a.m., lanzhou-veolia ha puesto carbón activado en los tanques de sedimentación de la compañía para absorber el material orgánico como un esfuerzo para disolver el benceno.

스와힐리어

kuanzia saa 9 usiku, aprili 19, lanzhou veolia imeshaweka kemikali ya kaboni kwenye mapipa ya kampuni kwa lengo la kufyonza dutu za kioganiki kama namna ya kuyeyusha benzini iliyo kwenye maji hayo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

unas pocas horas después de que el ejército paquistaní había despejado el aeropuerto de terroristas, el periodista paquistaní noman ahmed informó que 7 empleados de la compañía de transporte gerry aún se encontraban atrapados en el depósito del aeropuerto que colapsó parcialmente durante el ataque. se informó que siete miembros del equipo están atrapados dentro de la cámara frigorífica desde anoche.

스와힐리어

gazeti la kila siku linaloongoza la pakistani, dawn linasema kuwa operesheni ya kijeshi ilianzishwa upya kwenye uwanja wa ndege wa karach, kufuatia majibizano ya risasi, yaliyoanza masaa kadhaa baada ya jeshi kusema kwamba lilikuwa limefanikiwa kurejesha hali ya usalama kwenye uwanja huo wa ndege wenye shughuli nyingi zaidi nchini humo, kufuatia uvamizi wa wanamgambo wa kigaidi kuteka uwanja huo kwa masaa sita na kupoteza maisha ya watu wapatao 24.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스페인어

"estaba compartiendo mis ideas con un grupo de personas acerca de cómo hacemos responsables a las compañías, y mohamed elgohary dijo: 'me gustaría ver una lista'.

스와힐리어

"nilikuwa nikijadiliana na watu mbalimbali kuhusu namna ambavyo tunavyoweza kuyawajibisha makampuni yanayotoa huduma ya intaneti, hapo ndipo mohamed elgohary aliposema, "ningependa kuona orodha."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,761,916,004 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인