전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
even as sara obeyed abraham, calling him lord: whose daughters ye are, as long as ye do well, and are not afraid with any amazement.
sara kwa mfano alimtii abrahamu na kumwita yeye bwana. ninyi mmekuwa sasa binti zake kama mkitenda mema bila kuogopa tisho lolote.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
and if you are amazed, then indeed the amazement is at their saying that, “will we, after having turned to dust, be created anew?”
na kama ukistaajabu, basi cha ajabu zaidi ni huo usemi wao: ati tukisha kuwa mchanga kweli tutakuwa katika umbo jipya? hao ndio walio mkufuru mola wao mlezi.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
one older bengali coworker even expressed amazement that i followed the “old-fashioned” tradition of wearing a loha – a gold-plated iron bangle that serves as a wedding ring among bengali women – on my left wrist daily. ............on the third hand (yes, yes, i know), the last time i wore sindoor to the office, my boss wanted to know if i needed a band-aid for the cut on my head.
mwanamke mmoja mtu mzima mfanyakazi mwenzangu mwenye asili ya bengali hata alinishangaa kwa kuwa nilikuwa nafuata utamaduni "uliopitwa na wakati" wa kuvalia bangili ya loha - bangili iliyopakwa dhahabu ambayo hutumika kama pete wakati wa harusi miongoni mwa wanawake wa ki-bengali - katika mkono wangu wa kushoto kila siku. …………katika hatua nyingine (ndiyo, ndiyo, najua) mara ya mwisho nilipojipaka sindoor na kwenda ofisini, bosi wangu alitaka kujua kama nilihitaji kupewa bandeji ili nijifunge kidonda nilichokuwa nacho kichwani kwangu.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다