전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
the documentary investigates one of the largest drug seizures by police in brazil’s history, in which half a ton of cocaine was found in a helicopter belonging to the powerful perrella family.
filamu hiyo inachunguza tukio la kukamatwa kwa madawa ya kulevya na polisi, ambalo ni tukio kubwa kuwahi kutokea katika historia ya brazili, ambapo kiasi cha nusu tani za dawa za kulevya kiligundulika kwenye helkopta inayomilikiwa na familia tajiri na yenye nguvu ya perrella.