검색어: commercial (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

commercial

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

non-commercial use.

스와힐리어

kwa matumizi yasiyo ya kibiashara.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

commercial water service

스와힐리어

ugavi wa maji uhandisi

마지막 업데이트: 2022-07-11
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

but take witnesses whenever you make a commercial contract.

스와힐리어

lakini mnapo uziana wekeni mashahidi.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

a wikipedia article about commercial aviation catastrophes was edited by vgtrk.

스와힐리어

makala ya wikipedia kuhusu kuanguka kwa ndege ya mh17 ilihaririwa na vgtrk.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

commercial devices can measure and validate hand hygiene, if demonstration of regulatory compliance is required.

스와힐리어

vifaa vya kibiashara vinaweza kupima na kuthibitisha usafi wa mikono, ikiwa maonyesho ya kufuata sheria inahitajika.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

at the same time, the market is also a haven for criminals who have given the commercial area its bad name.

스와힐리어

wakati huo huo, soko hilo pia ni hifadhi ya wahalifu ambao wanalipa eneo hilo la biashara jina baya.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

across tanzania's commercial capital, dar es salaam, both traffic and new construction are burgeoning.

스와힐리어

katika maeneo mbalimbali ya jiji la kibiashara la tanzania, dar es salaam, kumekuwa na ongezeko la haraka la magari pamoja na majengo mapya.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the sit-in protests spread from the financial district in admiralty to the commercial district in causeway bay and mongkok.

스와힐리어

maandamano ya kukaa yameenea kuanzia wilaya ya kiuchumi ya admiralty mpaka wilaya ya kibiashara kwenye ghuba ya causeway bay na mongkok.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

but when no buyers were forthcoming, he turned to plan b: to set up dominion air and put the jets to commercial use.

스와힐리어

lakini wanunuzi walipokosekana, aligeukia mpango mbadala: kuanzisha shirika la ndege na kuziingiza ndege zake katika matumizi ya kibiashara.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

both from the country’s commercial capital, dar es salaam, they are the two biggest and oldest clubs in tanzania.

스와힐리어

zote zinatoka kwenye mji ambao unaaminika kuwa ndiyo kitovu cha biashara, dar es salaam, ndizo timu mbili kubwa na kongwe nchini tanzania.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

global voices will monitor this interesting commercial/advertising case and publish the results of the survey, too, as soon as they appear.

스와힐리어

global voices itafuatilia kisa cha tangazo hili la biashara la namna yake na kuchapisha matokeo ya utafiti mara yatakapotolewa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

of course, there is no harm if you do not put in writing the common transactions you conclude daily on the spot, but in case of commercial transactions you should have witnesses.

스와힐리어

lakini mnapo uziana wekeni mashahidi. wala asitiwe matatani mwandishi wala shahidi.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

in addition, a number of innovations have already emerged that will no doubt accelerate the spread of social media, including the emergence of mobile money which now enables commercial activities.

스와힐리어

kwa nyongeza, tayari jitihada za kiubunifu zimefanyika na haina shaka kuwa jitahada hizo zitaongeza kuenea kwa mitandao ya kijamii, ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa huduma za kifedha kwa njia ya simu za mkononi ambayo kwa sasa inasaidia kukuza shughuli za kiuchumi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

technically, gatherings of less than 500 people do not need a permit in that park, while having a vigil even in front of the kenyan embassy or in another commercial place would require cumbersome bureaucracy.

스와힐리어

kiutaratibu, kukusanyika watu wasiozidi 500 kwenye viwanja hivyo hakuhitaji ruhusa, wakati kuwa na ibada ya kumbukumbu hata mbele ya ubalozi wa kenya au kwenye eneo lolote la kibiashara kunahitaji kufuata urasimu mkubwa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

since 2010, china has been the leading commercial partner in africa , although four years ago, at the time of obama’s visit to ghana, the us were in this position.

스와힐리어

tangu 2010, china imekuwa mshirika mkuu wa kibiashara barani afrika , ingawa kwa miaka minne iliyopita, wakati wa ziara ya obama nchini ghana, marekani ilikuwa katika nafasi hiyo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

initially designed like the boa vista market, the commercial area was perhaps the only location where it was possible to find a little bit of everything – albeit through hidden means, including guns and arms trafficking and both adult and child sexual services.

스와힐리어

mwanzoni lilianzishwa kama vile soko la boa vista, eneo la biashara lilikuwa pengine ndio sehemu pekee ambayo palikuwa na uwezekano wa kupata bidhaa zozote – japokuwa kwa njia za vificho, pamoja na bunduki na biashara ya silaha na pia huduma za ngono za watu wazima pamoja na watoto.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

those who try to return to their ancestral lands find that the government has already leased their lands to foreign investors who are hurriedly bulldozing forests, farms, and wetlands in order to grow commercial crops of agro fuels, tea, spices, rice, and sugar cane, mostly for export.

스와힐리어

wale wanaojaribu kurudi kwenye ardhi zao za asili wanakuta tayari serikali imeshaigawa ardhi hiyo kwa wawekezaji wa kigeni ambao kwa haraka haraka wanasafisha maeneo hayo kwa kuondoa mapori, mashamba yaliyokuwepo na vichaka ili kupata nafasi ya kulima mazao ya kibiashara kama vile ufuta, chai, viungo, mchele, na sukari, ambapo mazao mengi yanakusudiwa kuuzwa nje ya nchi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,776,847,211 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인