전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
equally beautiful
sasawa mrembo
마지막 업데이트: 2021-03-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
equally important is public opinion.
kilichomuhimu ni maoni ya umma.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
ugandans on twitter are equally worried:
waganda walio kwenye twita nao pia wana hofu:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
british journalist ian birell was equally unimpressed:
mwandishi wa uingereza ian birell vivyo hivyo alionyesha kutokufurahishwa:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
equally on twitter, netizens expressed varied views:
vile vile kupitia twita, wanamtandao wamekuwa na maoni tofauti:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
god is too exalted to be loved equally to anything else.
mwenyezi mungu ametukuka na huko kushirikisha kwao.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
still, the growth is not equally felt throughout the continent.
bado hata hivyo, ukuaji huo hauonekani kuwa na uwiano sawa katika nchi za bara hili.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
howsoever you may try you will never be able to treat your wives equally.
wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
and in the case of egypt, that conservatism applies equally to muslims and christians.
na katika shauri la misri, uhafidhina huo upokatika mizani sawa kote, kwa waislamu na wakristu.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
i equally aware that zedian housemates are currently feared because of their potential.
ninafahamu jinsi wawakilishi kutoka zedi wanavyoogopwa mle kwa sababu ya uwezo wao mkubwa.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
the rich ones do not have to give away their property to their slaves to make them equally rich.
na wale walio fadhilishwa hawarudishi riziki zao kwa wale ilio wamiliki mikono yao ya kulia ili wawe sawa katika riziki hiyo.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
adamu waziri at evcl points out that often nigerian depictions of nigerians are equally unflattering:
adamu waziri katika evcl anasema kuwa mara nyingi jinsi wanaijeria wanavyoonyeshwa na wanaijeria pia huwa hakufurahishi:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
the kasubi tombs are equally a heritage for the country so i hope both sides deal with this issue with maximum restraint.
makaburi ya kasubi pia ni urithi kwa nchi kwa hiyo natumaini pande zote zitalishughulikia suala hili kwa uangalifu wa hali juu.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
everything that is humanely destructive but equally bracketed into the flawed mortality of individuals i'm entrusting my country with.
chochote chenye uharibifu kwa utu wa mwanadamu lakini hichohicho ndicho kinachotumika kuua watu ninaoamini ndio wamebeba mustakabali wa nchi yangu.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
if they are more than that, they shall equally share the third, after any bequest that he had bequeathed or any debt without harm.
na wakiwa zaidi kuliko hivyo basi watashirikiana katika thuluthi, baada ya wasia ulio usiwa au kulipa deni, pasio kuleta dhara.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
he placed stabilizers over it; and blessed it; and planned its provisions in four days, equally to the seekers.
na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika siku nne. haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
allah has struck an example of a man shared by disagreeing partners, and a man who is owned by just one man, are the two equally alike?
mwenyezi mungu amepiga mfano wa mtu mwenye mabwana washirika wanao gombana, na wa mtu mwengine aliye khusika na bwana mmoja tu. je!
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
the demand raised in the hashtag #hastaqueaparezcagoyo raises another equally painful question-how long until we get our country back?
hitaji lao lililowekwa katika kiungo habari #hastaqueaparezcagoyo laibua swali jingine lenye kuibua maumivu- itachukua muda gani hadi kuirudisha nchi yetu?
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
do you have from among those whom your right hand possesses associates in what we have given you, who share it equally with you? do you fear them as you fear one another?
je! katika hao iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia mnao washirika katika hivyo tulivyo kuruzukuni, mkawa nyinyi katika hivyo ni sawasawa, mnawaogopa kama mnavyo ogopana wenyewe kwa wenyewe?
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
but if they turn away, then say, "i have announced to [all of] you equally. and i know not whether near or far is that which you are promised.
na kama wakigeuka, basi sema: nimekutangazieni sawa sawa, wala sijui yako karibu au mbali hayo mliyo ahidiwa.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다