검색어: i know her a couple of years ago (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

i know her a couple of years ago

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

a couple of bloggers have wished the president well in his new found love following the death of his wife ethel three years ago.

스와힐리어

wanabloga wachache wamemtakia heri rais katika mapenzi mapya aliyoyapata baada ya kifo cha mkewe ethel miaka mitatu iliyopita.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the tragedy happened to coincide with a distinct cooling in the relationship between the two nations over the past couple of years.

스와힐리어

tukio hili la kusikitisha limetokea wakati kuna kupooza katika uhusiano kati ya mataifa haya mawili katika miaka michache iliyopita.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

to be educated goes beyond memorizing a couple of names and forgetting them the next day.

스와힐리어

tkuelimika kunaenda mbali zaidi ya kukariri majina kadhaa na kuyasahau siku inayofuata.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

in less than a couple of hours a website metro29.ru has been installed to cover the events.

스와힐리어

chini ya masaa mawili tovuti ya metro29.ru iliundwa ili kupasha habari kuhusu tukio hilo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

a question echoing through the blogosphere for a couple of weeks, but the response is slow in coming.

스와힐리어

swali hili linarudiwa rudiwa kupitia blogu mbalimbali kwa majuma kadhaa sasa, lakini majibu yamekuwa vigumu kupatikana.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

a text message usually sits in a phones mailbox for a couple of days, allowing that person to go back and view it.

스와힐리어

ujumbe kwenye simu za viganjani hukaa kwenye simu kwa siku kadhaa, hii inamruhusu mtumiaji kurejea na kuangalia ujumbe huo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

then a couple of hooligan looking men jumped off the car and swarmed at me and they started to ask me to get on to the vehicle.

스와힐리어

wanaume walioonekana wakatili walinivamia na kisha kunilazimisha kuingia kwenye gari.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

for instance, a lot of reports came from communities with limited access to registration centres and a couple of such communities had the deadline for voter registration extended by two days.

스와힐리어

kwa mfano, taarifa nyingi zilikuja kutoka kwenye jamii zisizo na fursa ya kutosha kufika kwenye vituo vya kujiandikishia kupiga kura na jamii kadhaa kama hizo ilibidi ziongezewe muda wa mwisho wa kujiandikisha kwa siku mbili zaidi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

at that time, sata’s appearance was that of an ailing man, a confirmation of his scraggy appearance at the high court a couple of weeks earlier.

스와힐리어

wakati huo, mwenekano wa sata ulikuwa ule wa mtu aliyedhoofishwa na ugonjwa, hali inayothibitisha madai ya kuonekana mkondefu mno alipojitokeza kwenye mahakama kuu majuma kadhaa yaliyopita.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

for i know the forwardness of your mind, for which i boast of you to them of macedonia, that achaia was ready a year ago; and your zeal hath provoked very many.

스와힐리어

ninajua jinsi mlivyo na moyo wa kusaidia, na nilijivuna juu yenu kuhusu jambo hilo mbele ya watu wa makedonia. niliwaambia: "ndugu zetu wa akaya wako tayari tangu mwaka jana." hivyo, moto wenu umekwisha wahimiza watu wengi zaidi.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

at the same time, popular russian blogging platforms as livejournal.com or ya.ru could have been used for live reporting but, as discussed above, there is only a couple of examples of this use.

스와힐리어

wakati huo huo, majukwaa maarufu ya kublogu nchini urusi kama vile livejournal.com au ya.ru yangeweza kutumika ili kublogu moja kwa moja lakini, kama ilivyojadiliwa hapo juu, kuna mifano michache tu ya matumizi hayo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

a couple of days after the events on the previous video, women marched in cairo protesting against the abuses to women and also called for the fall of military rule as told in bahrain: a bloody national day, a funeral and more suppression.

스와힐리어

siku kadhaa baada ya matukio katika video iliyopita, wanawake waliandamana mjini cairo walipinga udhalilishaji wa wanawake na vile vile wakitoa wito wa kuangushwa kwa utawala wa kijeshi kama ilivyosimuliwa katika bahrain: siku ya damu ya kitaifa, maziko na ukandamizaji zaidi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

blogger sayeh azadi published a couple of photos from security forces and writes if 'eu and usa had listed basijs on the terrorist list, this regime's beasts would not dare to intimidate people.'

스와힐리어

mwanablogu sayeh azadi alichapisha picha mbili kuhusu vikosi vya usalama na anaandika kuuliza kama 'umoja wa ulaya na marekani ziliwaorodhesha basijs katika orodha ya magaidi, washenzi hawa wa utawala huu hawatathubutu kuwatishia watu.'

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

then whoever hastens off in a couple of days, there is no sin upon him, and whoever delays, there is no sin upon him—that for one who has been godwary—and be wary of allah and know that toward him you will be mustered.

스와힐리어

lakini mwenye kufanya haraka katika siku mbili (akarejea) si dhambi juu yake; na mwenye kukawia pia si dhambi juu yake, kwa mwenye kumchamngu. na mcheni mwenyezi mungu, na jueni kwamba nyinyi mtakusanywa kwake.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

a couple of days after sata’s journey, the ceremonial guard and the presidential standard, an orange flag embossed with the coat of arms, both of which are supposed to be removed in his absence, were still in place at the presidential palace in the central district of the capital.

스와힐리어

siku kadhaa baada ya safari ya sata, ulinzi na itifaki ya kirais na bendera ya rais yenye nembo ya taifa, vyote ambavyo vilipaswa kuondolewa wakati rais asipokuwepo, viliendelea kuwepo ikulu ya rais kwenye wilaya ya kati ya jiji hilo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,739,348,608 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인