전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
the group has now transformed its discontent at power cuts into a mobilisation movement for young people.
kundi hilo hivi sasa limegeuza manung’uniko yake juu ya mgawo wa umeme kuwa vuguvugu la kuwahamasisha vijana.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
a rainbow of colours of rural indian women gathered as volunteers for social mobilisation and development in their villages.
upinde wa rangi za akina mama wa vijijini waliokusanyika kama wahamasishaji wa kujitolea kwenye vijiji vyao.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
the political environment in south sudan, as the events of this week testify, remains vulnerable to the mobilisation of armed force.
matukio ya wiki hii yanashuhudia kwamba mazingira ya kisiasa nchini sudan kusini bado yana uwezekano wa kusababisha kushirikishwa kwa wanajeshi.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
the release of arroz a few hours later was fueled by massive popular mobilisation in front of the police station combined with the presence of mainstream media and the intervention of jurists.
kuachiliwa huru kwa arroz saa chache baadaye kulichochewa kwa kiasi kikubwa na uhamasishaji mkubwa wa watu mbele ya kituo cha polisi ikichangiwa pia na kuwepo kwa vyombo vikuu vya habari na hatua ya wanasheria kuingilia kati.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: