전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
i give thee charge in the sight of god, who quickeneth all things, and before christ jesus, who before pontius pilate witnessed a good confession;
mbele ya mungu anayevipa vitu vyote uhai, na mbele ya yesu kristo aliyetoa ushahidi na kukiri ukweli mbele ya pontio pilato,
it originates from the bible passage in matthew where pontius pilate washed his hands of the decision to crucify jesus christ, but has become a phrase with a much wider usage in some english communities.
kinatoka katika kifungu cha bibilia katika mathayo ambapo pilato aliosha mikono yake kutoka kwa uamuzi wa kusulubisha yesu kristo, lakini kimekuwa kifungu kinachotumika pakubwa katika baadhi ya jamii za uingereza.
and pilate answered and said again unto them, what will ye then that i shall do unto him whom ye call the king of the jews?
pilato akawauliza tena, "basi, sasa mwataka nifanye nini na mtu huyu mnayemwita mfalme wa wayahudi?"
and herod with his men of war set him at nought, and mocked him, and arrayed him in a gorgeous robe, and sent him again to pilate.
basi, herode pamoja na maaskari wake, wakamwaibisha yesu na kumfanyia mzaha; kisha wakamvika vazi la kifalme, wakamrudisha kwa pilato.
and so pilate, willing to content the people, released barabbas unto them, and delivered jesus, when he had scourged him, to be crucified.
pilato alitaka kuuridhisha huo umati wa watu; basi, akamwachilia baraba kutoka gerezani. akaamuru yesu apigwe viboko, kisha akamtoa asulubiwe.