전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
worm spray
dawa ya minyoo
마지막 업데이트: 2024-03-24
사용 빈도: 1
품질:
spray fire is hot
dawa
마지막 업데이트: 2014-10-15
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
doko is spray paint in the egyptian dialect.
doko ni rangi ya kupulizilia kwa lafudhi ya kimisri.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
i am guessing it was not linen freshening spray.
ninahisi hayakuwa marashi.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
break a guy's car and spray him with over 5 cans of teargas??
unavunja gari ya mtu halafu unampulizia zaidi ya makopo matano ya mabomu ya machozi??
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
journalists and the elderly became the target of the police's pepper spray:
waandishi wa habari na wazee walikuwa shabaha ya maji ya kuwasha ya polisi:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
protesters demanding genuine democratic elections in hong kong were met with batons, tear gas and pepper spray during the second day of demonstrations in the city.
waandamanaji waonadai uchaguzi wenye demokrasia kamili jijini hong kong walikumbana na nguvu za dola, mabomu ya machozi na maji ya kuwasha wakati wa siku ya pili ya mandamano hayo jijii humo.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
after the pepper spray incident and video, the university of california's participation in the worldwide occupy movement gained media attention.
baada ya tukio lililonaswa kwenye video la kumwagiwa pilipili, ushiriki wa chuo kikuu cha california katika vuguvugu la dunia nzima la maandamano ya kukaa ulivutia macho ya vyombo mbalimbali vya habari.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
in canada on 16 april 2020, the university of waterloo school of pharmacy announced design of a dna-based vaccine candidate as a possible nasal spray.
huko kanada tarehe 16 aprili 2020, chuo kikuu cha waterloo cha shule ya kusomea dawa ilitangaza muundo wa chanjo iliyoteuliwa inayotegemea dna kama dawa ya kinyunyizio cha pua inayowezekana.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
in hong kong, peaceful demonstrators demanding genuine democratic elections are using umbrellas to shield themselves from pepper spray and tear gas and to to keep them from getting wet if the police deploys water cannons.
nchini hong kong, waandamanaji wa amani wanaodai uchaguzi huru wa kidemokrasia halisi wanatumia miamvuli kujilinda na mabomu na kujizuia kulowa na maji ya washawasha kutoka kwa polisi.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
if close contact occurs during apprehension, workers should clean and disinfect their duty belt and gear prior to reuse using a household cleaning spray or wipe, and follow standard operating procedures for the containment and disposal of used ppe and for containing and laundering clothes.
ikiwa kutakuwa na mgusano wa karibu wakati wa kuchukuliwa, wafanyakazi wanapaswa kusafisha na kutakasa mkanda na vifaa vyao vya kazi kabla ya kuvitumia tena kwa kutumia kinyunyizi au kipanguzaji cha kusafisha cha nyumbani, na wafuate taratibu za kawaida za kufanya kazi na utupaji wa ppe na vya kuweka na kufua nguo.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
amina's lawyers argued that she had the pepper spray for self-defense reasons, following the death threats she received last march, after she posted topless photographs of herself on facebook.
wanasheria wa amina walisema kwamba alikuwa na kifaa hicho kwa sababu ya kujilinda, kufuatia vitisho vya kuuawa alivyopata mwezi machi, baada ya yeye kuwa ameweka picha inayomwonyesha bila nguo kifuani kwenye mtandao wa facebook.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
on may 30, a court fined amina 300 tunisian dinars (150 euros) over the "non-authorized possession of an incendiary object" — pepper spray.
mnamo mei 30, mahakama ilimtoza amina faini ya dinari 300 za tunisia (150 euro) kwa "kumiliki kifaa hatari kisichoruhusiwa" -kemikali za kupulizia.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다