전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
ut illam sanctificaret mundans lavacro aquae in verb
alifanya hivyo, ili kwa neno lake, aliweke wakfu kwa mungu, baada ya kulifanya safi kwa kuliosha katika maji,
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
sed aqua quam dabo ei fiet in eo fons aquae salientis in vitam aeterna
lakini atakayekunywa maji nitakayompa mimi, hataona kiu milele. maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji ya uzima na kumpatia uzima wa milele."
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
in his iacebat multitudo magna languentium caecorum claudorum aridorum expectantium aquae motu
humo barazani mlikuwa na wagonjwa wengi wamekaa: vipofu, viwete na waliopooza. walikuwa wakingojea maji yatibuliwe,
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
et ostendit mihi fluvium aquae vitae splendidum tamquam cristallum procedentem de sede dei et agn
kisha malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima maangavu kama kioo yakitoka kwenye kiti cha enzi cha mungu na mwanakondoo.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
erat autem et iohannes baptizans in aenon iuxta salim quia aquae multae erant illic et adveniebant et baptizabantu
yohane pia alikuwa akibatiza watu huko ainoni, karibu na salemu, maana huko kulikuwa na maji mengi. watu walimwendea, naye akawabatiza.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
et dixit mihi factum est ego sum alpha et omega initium et finis ego sitienti dabo de fonte aquae vivae grati
kisha akaniambia, "yametimia! mimi ni alfa na omega, mwanzo na mwisho. aliye na kiu nitampa kinywaji cha bure kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
accedentes autem suscitaverunt eum dicentes praeceptor perimus at ille surgens increpavit ventum et tempestatem aquae et cessavit et facta est tranquillita
wale wanafunzi wakamwendea yesu, wakamwamsha wakisema, "bwana, bwana! tunaangamia!" yesu akaamka, akaikemea dhoruba na mawimbi, navyo vikatulia, kukawa shwari.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다