전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa.
kaj malproksime de ili estis granda grego da porkoj, pasxtigxantaj tie.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
tangu saa sita mchana mpaka saa tisa kulikuwa giza nchini kote.
kaj kiam venis la sesa horo, farigxis mallumo sur la tuta lando gxis la nauxa horo.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka.
kaj estis multaj lumiloj en la supra cxambro, kie ni kunvenis.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
yesu akaendelea kusema, "kulikuwa na mtu mmoja mwenye wana wawili.
kaj li diris:unu viro havis du filojn;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
huko yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya kutabaruku. wakati huo ulikuwa wa baridi.
okazis la festo de inauxguro en jerusalem, kaj estis vintro;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
kulikuwa na kiongozi mmoja myahudi, wa kikundi cha mafarisayo, jina lake nikodemo.
estis viro el la fariseoj, nomata nikodemo, cxefo inter la judoj;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
wakati yesu alipokaribia yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba.
kaj kiam li alproksimigxis al jerihxo, unu blindulo sidis apud la vojo, petante almozojn;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
kulikuwa na wagiriki kadhaa miongoni mwa watu waliokuwa wamefika yerusalemu kuabudu wakati wa sikukuu hiyo.
kaj inter tiuj, kiuj alvojagxis por adorklinigxi cxe la festo, estis iuj grekoj;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
kwa kupitia amfipoli na apolonia, walisafiri mpaka thesalonika ambako kulikuwa na sunagogi la wayahudi.
kaj vojagxinte tra amfipolis kaj apolonia, ili alvenis en tesalonikon, kie estis sinagogo de la judoj;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
na katikati yake kulikuwa na kitu kama mtu, naye alikuwa amevaa kanzu ndefu na ukanda wa dhahabu kifuani.
kaj meze de la sep lampingoj iun similan al la filo de homo, vestitan gxispiede, kaj zonitan cxirkaux la brusto per ora zono.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
kulikuwa na mtu mmoja huko lustra ambaye alikuwa amelemaa miguu tangu kuzaliwa, na alikuwa hajapata kutembea kamwe.
kaj en listra sidadis unu viro senforta en la piedoj, kiu estis lama de la patrina ventro, kaj neniam piediris.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
kisha akawaambia mfano: "kulikuwa na tajiri mmoja ambaye shamba lake lilizaa mavuno mengi.
kaj li parolis al ili parabolon, dirante:la bieno de unu ricxulo donis abunde;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.
kaj estis unu, nomata barabas, katenita kun la ribelintoj, kiuj en la ribelo faris mortigon.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
watumishi na walinzi walikuwa wamewasha moto kwa sababu kulikuwa na baridi, wakawa wanaota moto. naye petro alikuwa amesimama pamoja nao akiota moto.
la sklavoj kaj la oficistoj, farinte karban fajron (cxar estis malvarme), staris kaj sin varmigis; petro ankaux estis kun ili, starante kaj sin varmigante.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
katika mji huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane, ambaye alimwendea huyo hakimu mara nyingi akimwomba amtetee apate haki yake kutoka kwa adui yake.
kaj estis vidvino en tiu urbo, kaj sxi venadis al li, dirante:faru por mi justecon kontraux mia kontrauxulo.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye simoni ambaye alikuwa amekwisha fanya uchawi wake katika mji huo kwa muda na kuwashangaza watu wa samaria, akijiona kuwa yeye ni mtu maarufu.
sed unu viro, nome simon, jam antauxe faradis magion en la urbo kaj sorcxadis la popolon de samario, dirante, ke li estas iu granda;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
basi, katika mji ule kulikuwa na mama mmoja aliyekuwa anaishi maisha mabaya. alipopata habari kwamba yesu yuko nyumbani kwa huyo mfarisayo, alichukua chupa ya alabasta yenye marashi.
kaj jen estis en la urbo virino pekulino; kaj kiam sxi eksciis, ke jesuo sidas cxe mangxo en la domo de la fariseo, sxi alportis alabastran vazon da sxmirajxo,
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
juu ya hilo sanduku kulikuwa na viumbe vilivyodhihirisha kuweko kwa mungu, na mabawa yao yalitanda juu ya mahali ambapo dhambi huondolewa. lakini sasa, hatuwezi kusema kinaganaga juu ya mambo hayo.
kaj super tio kerubojn de gloro superombrantajn la fermoplaton, pri kiuj ni nun ne povas detale paroli.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
basi, kulikuwa na vizazi kumi na vinne tangu abrahamu mpaka daudi, vizazi kumi na vinne tangu daudi mpaka wayahudi walipochukuliwa mateka babuloni, na vizazi kumi na vinne tangu kuchukuliwa mateka mpaka wakati wa kristo.
tial cxiuj generacioj de abraham gxis david estas dek kvar generacioj, kaj de david gxis la translogxigxo en babelon dek kvar generacioj, kaj de la translogxigxo en babelon gxis la kristo dek kvar generacioj.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
mto huo ulitiririka kupitia katikati ya barabara kuu ya mji. kandokando ya mto huo kulikuwa na mti wa uzima unaozaa matunda mara kumi na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake ni dawa ya kuwaponya watu wa mataifa.
meze de gxia strato. kaj cxe cxiu flanko de la rivero estis arbo de vivo, portanta dek du fruktojn, liveranta sian frukton cxiumonate; kaj la folioj de la arbo estis por la resanigo de la nacioj.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질: