검색어: barack (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

barack

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

barack obama

영어

obama

마지막 업데이트: 2013-08-23
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

ndio, barack obama anakuja tanzania.

영어

yes, barack obama is coming to tanzania.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

barack obama kama alivyochorwa na bun heang ung

영어

barack obama, illustrated by bun heang ung

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

barack obama anazuru ghana tarehe 10 mpaka 11 julai.

영어

barack obama is visiting ghana on 10-11 july.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

marais wa iran na marekani: hassan rouhani na barack obama.

영어

presidents of iran and us: hassan rouhani and barack obama.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

picha ya rais barack obama katika bango la barabarani jijini dar es salaam.

영어

image of president barack obama on a billboard in dar es salaam.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

picha ya rais barack obama katika bango kubwa barabarani kumkaribisha jijini dar es salaam.

영어

image of president barack obama on a billboard welcoming him in dar es salaam.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

rais wa marekani barack obama alitoa hotuba yake ghana ambayo inaweza kuchukuliwa kuwa kama hotuba ya sera yake ya afrika.

영어

u.s. president barack obama gave a speech in ghana which could be considered as his africa policy speech.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

blogu hii ina vionjo vya mirindimo vya ziara hii kama video inayomwonyesha mwanamuziki wa kikameruni akimshabikia barack obama kwenye uchaguzi imewekwa pale.

영어

this blog also gives a rythmic flavour to this visit as the video of a cameroonian musician hailing barack obama on his election is posted there.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

wakati pekee ambao dar es salaam ilishuhudia umati mkubwa wa watu ni wakati wa ziara ya raia wa marekani barack obama alipozuru nchi hiyo mwaka 2013.

영어

the only other time dar es salaam had witnessed such a huge crowd was when u.s. president barack obama visited the country in 2013.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

wiki iliyopita, hotuba iliyotolewa na rais wa marekani barack obama kuhusiana na uraia ilizua mjadala mkubwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini china.

영어

last week, a speech by u.s. president barack obama on the value of engaged citizenship made waves in chinese social media.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

unaweza kuona kuwa mirziyoyev ametiwa moyo na nicolas sarkozy, lee myung-bak, barack obama, vladimir putin and islam karimov.

영어

you can see that mirziyoyev is inspired by nicolas sarkozy, lee myung-bak, barack obama, vladimir putin and islam karimov.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

rais wa marekani barack obama amemaliza ziara yake ya siku sita katika nchi tatu za kiafrika, senegali, afrika kusini na tanzania, mnamo julai 2, 2013.

영어

us president barack obama finished his six-day tour of three african countries, senegal, south africa and tanzania, on july 2, 2013.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

katika moja ya jumbe zake za hivi karibuni, alitumia "nina ndoto" kama picha ya nyuma ya mchoro wake wa barack obama, rais wa 44 wa marekani.

영어

in one of his recent posts, he used 'i have a dream' as a backdrop for his illustration of barack obama, the 44th president of the united states.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

dar es salaam, ambao ni mji mkuu wa kibiashara wa tanzania, unarejea katika hali yake ya kawaida baada ya siku mbili za kuwa mwenyeji wa mtu anayeaminika kuwa mwenye mvuto mkubwa duniani, rais wa marekani, barack obama.

영어

dar es salaam, tanzania's commercial capital, is getting back to normal after two days in which the city found itself playing host to arguably the most powerful man on earth: president barack obama of the united states.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

kwa mujibu wa usaid, msukumo wa kuja na wazo hili la mazungumzo ya mtandaoni, lilitokana na hotuba aliyoitoa rais barack obama mwezi juni mwaka 2009 jijini cairo, misri, ambapo alisema kwamba angefanya juhudi kuhamasisha ushirikiano miongoni mwa binadamu duniani.

영어

according to usaid, the inspiration for the online event is a speech president barack obama gave in cairo in june 2009 in which he said he would promote partnership with the rest of the world.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

blogu ya pamoja ya up station mountain club, pia ina makala nyingine - barack obama akiwa afrika: “zaidi ya ndio tunaweza”, ndio tunalazimika, kutoka kwa mwanablogu wa kikameruni aloysius agendia anayewasihi waafrika wafanye mabadiliko:

영어

the up station mountain club, collective blog also carries a post - barack obama in africa: "beyond yes we can", yes we must, from cameroonian blogger aloysius agendia in which he exhorts africans to make a change:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,778,055,448 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인