검색어: kijijini (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kijijini

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

sehemu ya kijijini nchini cambodia

영어

cambodian countryside

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

rosca ambayo mimi ni mwanachama iko kijijini kwangu tu

영어

the rosca that i am a member of is only based in my village

마지막 업데이트: 2021-10-26
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

sasa ardhi ya kuchungia inapotea na tumekwama huko kijijini.

영어

now the pasture land is disappearing and we are stuck in the village.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa hiyo hata barabara ya lami inayojengwa kijijini kwao hawana kazi nayo.

영어

so they are not interested in a tarred road either.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa sasa yuko na mama yake kijijini karibu na eneo la nawa huko seraa.

영어

@bbclysedoucet with his mother in a village near nawa in deraa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, "usirudi kijijini!"

영어

and he sent him away to his house, saying, neither go into the town, nor tell it to any in the town.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

yesu alikuwa hajaingia kijijini, ila alikuwa bado mahali palepale martha alipomlaki.

영어

now jesus was not yet come into the town, but was in that place where martha met him.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

anaweka video hii, inayoonyesha kanisa la kiinjili, kijijini humo likiwaka moto:

영어

he shares this video, showing the evangelical church, in mallawi, burning:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ukosefu wa madaktari katika maeneo ya mbali kijijini umewafanya watu wetu kuwa katika hali ngumu.

영어

the lack of doctors in remote and outlying areas have left our people in a difficult situation.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

watu walikuwa katika makundi pia walishambulia na kuiba vitu kwenye chumba cha makumbusho kijijini humo, na benki, maduka na makanisa mengine 10 jimboni humo.

영어

groups also attacked and looted the museum of mallawi, and banks, shops and 10 other churches in minya.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kijijini kwangu watakwambia alisaidia kupunguza vumbi kwenye barabara zao kwa sababu tangu aingie madarakani hakuna mtoto wao aliwahi kufaulu kimasomo, na kupata kazi inayolipa kumwezesha kununua hata gari.

영어

in my village they will tell you he has actually helped reduce the dust on their roads because ever since he came to power none of their children has excelled academically, got a well paying job and bought a car.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wanatuambia kwamba mwangosi alikuwa nyololo pamoja na waandishi wengine kuandika habari za chadema kufungua ofisi kijijini hapo, kinyume na amri ya polisi kuzuia shughuli za kisiasa wakati huo wa zoezi la sensa.

영어

they tell us that mwangosi was in nyololo together with several other journalists to report on chadema opening an office in the village, in defiance of police orders against political activities during the census period.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

riwaya hiyo inamfuatilia msimulizi (ambaye hakutajwa jina) katika safari yake ya kurejea kijijini alikozaliwa nchini sudan baada ya kuishi uingereza kwa miaka saba akitafuta elimu zaidi.

영어

the novel charts individuation of the (un-named) narrator, who has returned to his native village in the sudan having spent seven years in england furthering his education.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

joy in morocco, ambaye pia ni mfanyakazi wa kujitolea wa peace corps, anaandika juu ya kitu anachokishukuru nchini morocco, na vilevile kaweka picha ya mwanamke kutoka kijijini kwake anayepika wakati wa eid:

영어

joy in morocco, who is also a pcv, writes of something she's grateful for in morocco, also sharing a picture of a woman

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini wao wakamsihi wakisema, "kaa pamoja nasi, maana kunakuchwa, na usiku unakaribia." basi, akaingia kijijini, akakaa pamoja nao.

영어

but they constrained him, saying, abide with us: for it is toward evening, and the day is far spent. and he went in to tarry with them.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

hawa wazee wana maeneo mengi sana kama mwanachama hai na mzarendo wa chama chenye ushindi mkubwa ardhi hiyo indelezwe mpeni mwaka mmoja la punguzeni mwape wajitaji,nasio sumaye tu hadi mbweni kijijini balali anamiliki heka kama 100 zaidi haharini nae tuchukue shamba hilo tujenge hospital ya matende/busha na magonjwa asio ambukizwa.

영어

just work here

마지막 업데이트: 2016-05-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@lutoluh: kama oyedepo angeweka fedha zake benki au angezitumia kujengea “hekalu” la kuishi kijijini kwake...hakuna mmoja wenu angepata cha kutia chumvi sasa hivi!#dominionair

영어

@drphilip2010: i hear the sound of #envy! #dominionair #bishopoyedepo. @lutoluh: if oyedepo had kept his money in the bank or built a mansion in his village with it...none would be ranting right now! #dominionair

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,773,036,316 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인