전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
basi, akaenda kila mahali galilaya akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.
and he preached in their synagogues throughout all galilee, and cast out devils.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
lakini mafarisayo wakawa wanasema, "anawatoa pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya."
but the pharisees said, he casteth out devils through the prince of the devils.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
wakati huohuo, yesu alikuwa anawaponya watu wengi waliokuwa wanateseka kwa magonjwa na waliopagawa na pepo wabaya, akawawezesha vipofu wengi kuona tena.
and in that same hour he cured many of their infirmities and plagues, and of evil spirits; and unto many that were blind he gave sight.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
kisha nikaona pepo wabaya watatu walio kama vyura, wakitoka kinywani mwa yule joka, kinywani mwa yule mnyama, na kinywani mwa yule nabii wa uongo.
and i saw three unclean spirits like frogs come out of the mouth of the dragon, and out of the mouth of the beast, and out of the mouth of the false prophet.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
watu walikuwa wakichukua leso na nguo nyingine za kazi ambazo paulo alikuwa amezitumia, wakazipeleka kwa wagonjwa, nao wakaponywa magonjwa yao; na wale waliokuwa na pepo wabaya wakatokwa na pepo hao.
so that from his body were brought unto the sick handkerchiefs or aprons, and the diseases departed from them, and the evil spirits went out of them.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
...wagonjwa wa akili bado hutibiwa na waganga wa jadi, ambao lengo lao ni kuwatoa pepo wabaya kwa kuchoma ngozi, au kwa wafanyakazi wasio na ujuzi wa chumba kimoja cha kliniki za afya ambao huwapa kila kitu kutoka vidonge vya dawa ya kupunguza maumivu hadi dawa ya kikohozi.
...the mentally ill are still treated by traditional healers, who aim to drive out bad spirits by burning the skin, or by the untrained staff of one-room health clinics who prescribe everything from pain-relief tablets to cough syrup.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
wayahudi kadhaa wenye kupunga pepo wabaya, walisafiri huko na huko, wakijaribu kulitumia jina la bwana yesu kwa wale waliokuwa wamepagawa na pepo wabaya. walikuwa wakisema: "ninawaamuru kwa jina la yesu ambaye paulo anamhubiri."
then certain of the vagabond jews, exorcists, took upon them to call over them which had evil spirits the name of the lord jesus, saying, we adjure you by jesus whom paul preacheth.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.