검색어: kumtia (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kumtia

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

wakashauriana jinsi ya kumtia yesu nguvuni kwa hila wamuue.

영어

and consulted that they might take jesus by subtilty, and kill him.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kisha herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia yohane gerezani.

영어

added yet this above all, that he shut up john in prison.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi ya watu walitaka kumtia nguvuni lakini hakuna aliyejaribu kumkamata.

영어

and some of them would have taken him; but no man laid hands on him.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, polisi wameshindwa hata kumtia nguvuni angalau mhusika mmoja.

영어

the police have failed to arrest even a single perpetrator!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

congo (drc): video zasaidia kumtia hatiani thomas lubanga kwa uhalifu wa kivita

영어

dr of congo: videos helped convict thomas lubanga of war crimes · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa hiyo wakawa wanatafuta njia ya kumtia nguvuni, lakini waliwaogopa watu kwa sababu wao walimtambua yeye kuwa nabii.

영어

but when they sought to lay hands on him, they feared the multitude, because they took him for a prophet.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, watu wakataka kumtia nguvuni, lakini hakuna mtu aliyethubutu kumkamata kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.

영어

then they sought to take him: but no man laid hands on him, because his hour was not yet come.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati mtoto huyo alipokuwa anamjia yesu, yule pepo alimwangusha chini na kumtia kifafa. lakini yesu akamkemea yule pepo mchafu akamponya mtoto na kumkabidhi kwa baba yake.

영어

and as he was yet a coming, the devil threw him down, and tare him. and jesus rebuked the unclean spirit, and healed the child, and delivered him again to his father.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

naye akawaambia, "je, hata ninyi hamwelewi? je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu toka nje hakiwezi kumtia unajisi,

영어

and he saith unto them, are ye so without understanding also? do ye not perceive, that whatsoever thing from without entereth into the man, it cannot defile him;

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

basi, wakawa wanatafuta wakati wa kufaa. wakawahonga watu fulani wajisingizie kuwa wema, wakawatuma wamnase yesu kwa maswali, na hivyo waweze kumtia nguvuni na kumpeleka kwa wakuu wa serikali.

영어

and they watched him, and sent forth spies, which should feign themselves just men, that they might take hold of his words, that so they might deliver him unto the power and authority of the governor.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

makuhani wakuu, walimu wa sheria na wazee walifahamu ya kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu. kwa hiyo walijaribu kumtia nguvuni, lakini waliogopa umati wa watu. basi, wakamwacha wakaenda zao.

영어

and they sought to lay hold on him, but feared the people: for they knew that he had spoken the parable against them: and they left him, and went their way.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati huohuo yesu akauambia huo umati wa watu waliokuja kumtia nguvuni, "je, mmekuja kunikamata kwa mapanga na marungu kama kwamba mimi ni mnyang'anyi? kila siku nilikuwa hekaluni nikifundisha, na hamkunikamata!

영어

in that same hour said jesus to the multitudes, are ye come out as against a thief with swords and staves for to take me? i sat daily with you teaching in the temple, and ye laid no hold on me.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,772,824,734 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인