검색어: msalabani (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

msalabani

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

mungu wa babu zetu alimfufua yesu baada ya ninyi kumwua kwa kumtundika msalabani.

영어

the god of our fathers raised up jesus, whom ye slew and hanged on a tree.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

alifutilia mbali ile hati ya deni iliyokuwa inatukabili na masharti yake, na kuifuta kabisa kwa kuipigilia msalabani.

영어

blotting out the handwriting of ordinances that was against us, which was contrary to us, and took it out of the way, nailing it to his cross;

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sisi ni mashahidi wa mambo yote aliyotenda katika nchi ya wayahudi na katika yerusalemu. walimuua kwa kumtundika msalabani;

영어

and we are witnesses of all things which he did both in the land of the jews, and in jerusalem; whom they slew and hanged on a tree:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa njia yake mungu alivipatanisha naye vitu vyote naam, viumbe vyote mbinguni na duniania; alileta amani kwa damu ya kristo msalabani.

영어

and, having made peace through the blood of his cross, by him to reconcile all things unto himself; by him, i say, whether they be things in earth, or things in heaven.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maana ujumbe kuhusu kifo cha kristo msalabani ni jambo la kipumbavu kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea, lakini kwetu sisi tulio katika njia ya wokovu ujumbe huo ni nguvu ya mungu.

영어

for the preaching of the cross is to them that perish foolishness; but unto us which are saved it is the power of god.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kisha, akaushusha mwili huo kutoka msalabani, akauzungushia sanda ya kitani, akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa kwenye mwamba, ambalo halikuwa limetumika.

영어

and he took it down, and wrapped it in linen, and laid it in a sepulchre that was hewn in stone, wherein never man before was laid.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maana, kuhusu sheria hiyo, mimi nimekufa; sheria yenyewe iliniua, nipate kuishi kwa ajili ya mungu. mimi nimeuawa pamoja na kristo msalabani,

영어

for i through the law am dead to the law, that i might live unto god.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mtu mmoja akakimbia, akachovya sifongo katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe akisema, "hebu tuone kama eliya atakuja kumteremsha msalabani!"

영어

and one ran and filled a spunge full of vinegar, and put it on a reed, and gave him to drink, saying, let alone; let us see whether elias will come to take him down.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

"wewe! si ulijidai kulivunja hekalu na kulijenga kwa siku tatu? sasa jiokoe mwenyewe. kama wewe ni mwana wa mungu, basi shuka msalabani!"

영어

and saying, thou that destroyest the temple, and buildest it in three days, save thyself. if thou be the son of god, come down from the cross.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

ilikuwa ijumaa, siku ya maandalio. kwa hiyo, kusudi miili isikae msalabani siku ya sabato, maana siku hiyo ya sabato ilikuwa siku kubwa, wayahudi walimwomba pilato miguu ya hao waliosulubiwa ivunjwe na miili yao iondolewe.

영어

the jews therefore, because it was the preparation, that the bodies should not remain upon the cross on the sabbath day, (for that sabbath day was an high day,) besought pilate that their legs might be broken, and that they might be taken away.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mmoja wa wale wahalifu waliotundikwa msalabani, alimtukana akisema: "je, si kweli kwamba wewe ndiwe kristo? basi, jiokoe mwenyewe, utuokoe na sisi pia."

영어

and one of the malefactors which were hanged railed on him, saying, if thou be christ, save thyself and us.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,773,145,484 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인