검색어: naomba uje na gari yako (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

naomba uje na gari yako

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kugongwa na gari

영어

hit by a carn w

마지막 업데이트: 2023-10-14
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

rybak amechukuliwa na gari la wagonjwa.

영어

rybak was taken away in an ambulance.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

daraja lilohalibika baada ya kugongwa na gari

영어

hit by a car

마지막 업데이트: 2023-09-29
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

njiani kuelekea hospitali ya karmel adwan mlipuko mmoja karibu kabisa na gari la wagonjwa ukalitetemesha gari.

영어

on the way to karmel adwan hospital a particularly close explosion rocks the van.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jambo lingine ni kuwa ilitulazimu kusubiri vibali kutoka ngazi mbalimbali kabla hatujaruhusiwa kuondoka na gari kwenda hospitali.

영어

another thing is we had to wait for many levels of officials' approval for clearance in order for the car to leave to the hospital.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

dakika chache baadaye, gari lingine la cpvpv na gari la polisi lilikuja kuwakamata na kuwapeleka katika kituo cha polisi cha al-sulaimaniyah.

영어

minutes later, another cpvpv car and a police car came to arrest them and took them to al-sulaimaniyah police station.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kijana mdogo aliuawa kwa kugongwa na gari huko ribeirao preto na dazeni ya watu kujeruhiwa wakati waandamanaji walipokabiliana na polisi hukobrasilia, rio de janeiro na salvador pale zaidi ya watu milioni moja walipojitokeza katika mitaa mbalimbali ya miji mikubwa na midogo nchini kote brazil katika maandamano makubwa ambayo hayakuwahi kushuhudiwa kwa miongo miwili.

영어

a young man was killed after he was hit by a car in ribeirao preto and dozens were hurt in confrontations with the police in brasilia, rio de janeiro, and salvador as more than a million people took to the streets of large and small cities throughout brazil in the biggest protests seen in the country in two decades.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

aah vipi mizigo umesha weka tayari mh aah sijechelewa nikaja achwa na gari mh aah basi jikaze usilie mpenzi aah mi nitarudi niombee kwa mwenyezi aah zile taabu na njaa msimu mzima mavuno hakuna hua nakosa raha pale mkikosa cha kutafuna roho yangu inauma sema nitafanya nini na pesa sina nakuonea na huruma bora niende mjini kusaka tumaa kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea wadanganye na vibagia waambie pipi nitawaletea kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea na usichoke kuvumilia na kila siku kuniombea wewe unajua kwamba nafsi na roho vitakuwa na wasiwasi upweke na moyo utajawa na simanzi nitapo kuwa nakwenda shambani alafu niko peke yangu honey nitapo kuja kuwa na majirani nitaumia aah pale ninapotoka kisimani ama nipo na kuni kichwani sina wa kunitua nyumbani nitalia maneno yako yananifanya nakosa raha na mawazo hata mwenzako sijawahi kufika dar huu ndo mwanzo vile nakwenda na sijui pa kukaa wala mavazi ooh we niombee niepushwe na balaa na maradhi ooh eeh kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea wadanganye na vibagia waambie pipi nitawaletea kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea na usichoke kuvumilia na kila siku kuniombea unapokwenda kama ukifika salama utukumbuke na sisi usisahau kwaba mkeo na wana umetuacha na dhiki hilo usijali ila naomba chunga sana ogopa na marafiki wakikulagai hata kwa mbegu za mtama waambie sidanganyiki unapokwenda kama ukifika salama utukumbuke na sisi kumbuka mkeo nyumbani na wana umetuacha na dhiki hilo usijali ila naomba chunga sana ogopa na marafiki wakikulagai hata kwa mbegu za mtama waambie sidanganyiki eeeh eeeh oooh nitarejea mama niombee nirudi salama oooh watoto wadanganye iih uuh uuh aah tozalee zijaee hmm kamaaa… kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) wadanganye (uuh wadanganyee) na vibagia waambie pipi nitawaletea kama watoto wakinililia (kamaa)waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) na usichoke kuvumilia (usichoke) na kila siku kuniombea (nirudi salama)

영어

query length limit excedeed. max allowed query : 500 chars

마지막 업데이트: 2017-12-19
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,790,483,851 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인