검색어: ndoto za kupendeza ziupembe usingizi wako (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

ndoto za kupendeza ziupembe usingizi wako

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

cameroon: ndoto za umeme kwa ajili ya maendeleo ifikapo 2035

영어

cameroon: electric dreams for development by 2035 · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

anawataka raia wa afrika kusini walio wengi kuzaana na inaonekana anaota ndoto za nchi ambayo raia weupe hawapo tena.

영어

he encourages the black population of south africa to procreate and seems to dream of a country where white people are erased.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini wao walisema: hizo ni ndoto za ovyo ovyo, bali amezizua tu, bali huyo ni mtunga mashairi.

영어

"nay," they say, "(these are) medleys of dream! - nay, he forged it! - nay, he is (but) a poet!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

usiwaachie, waliota ndoto za kutawala, wawaza utawala dhalimu kama walivyo wao, wakiuhusisha na chakula na ukatili.

영어

don’t bear with them, they dreamed of power, wicked as they see it, food related and cruel.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

video hizi fupi fupi zinaonyesha masuala, mawazo na ndoto za vijana wanaotokea asili tofauti tofauti, na kutupa kidirisha cha kuyachungulia maisha yao ya kila siku.

영어

these short videos portray the concerns, ideas and dreams of youngsters from many different backgrounds, and give us a window into their daily lives.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini wao walisema: hizo ni ndoto za ovyo ovyo, bali amezizua tu, bali huyo ni mtunga mashairi. basi atuletee miujiza kama walivyo tumwa wale wa mwanzo.

영어

and they said, “a jumble of dreams,” and, “he made it up,” and, “he is a poet,” “let him bring us a sign, like those sent to the ancients.”

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mradi huo -unaofadhiliwa na benki ya dunia na mashirika mengine ya kimataifa- unachukuliwa kuwa na umuhimu wa pekee katika kufikiwa kwa ndoto za nchi hiyo za kuwa na uchumi imara.

영어

the project – funded by the world bank and other international organizations - is considered to be integral to cameroon’s aspirations to become an emerging economy.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sitabiriki, huota ndoto za mchana, umri wangu ni katika miaka ya 20, ninaamini katika mapenzi, mungu na nguvu ya maneno, nina mawazo huru na pengine kucheka ndio dawa bora kuliko zote.

영어

im a quirky, day dreaming, 20-something who believes in love, god, the power of words, having an open mind and that laughter is probably the best medicine.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sayeh azadi alichapisha tena (tafadhali angalia hapo juu) kikaragosi kilichochorwa na mchoraji vikaragosi anayeongoza nchini irani nikahang kutoka kwenye roozonline kikaragosi hicho kilikuwa na kichwa cha habari kinachosema “ndoto za ahmadinejad kwa lebanoni”.

영어

sayeh azadi has republished (see above) a cartoon by leading iranian cartoonist nikahang from in roozonline with the headline "ahmadinejad's dreams for lebanon".

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,747,983,014 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인