검색어: nipe ripoti za hapo (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

nipe ripoti za hapo

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

habari za hapo nyumbani

영어

english

마지막 업데이트: 2023-10-27
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ripoti za wananchi zitasaidia kupatiana picha ya vitendo vya ufisadi mijini.

영어

your reports will, perhaps for the first time, provide a snapshot of bribes occurring across your city.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tumeshuhudia ripoti za uvumi kwamba nikah yenyewe (uandikishaji ndoa) ulifanyika siku ya tarehe 9 aprili.

영어

we have seen rumor mongering reports that the actual nikah (marriage registry) took place on the 9th of april.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wapalestina wachache na wanaharakati wakigeni bado wanaweza kutuma ripoti za kile kinachoendelea kwenye ukanda wa gaza kwa kutumia umeme wa jenereta inapobidi.

영어

using generators for power when necessary, a number of palestinians and foreign activists are still managing to send out reports on what is happening in the gaza strip.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

programu ya collective journalism inayorushwa na current tv imeanzisha mfululizo wa ripoti za video zinaoonyesha maoni ya watu wengine ulimwenguni kuhusu marekani.

영어

current tv's collective journalism program has started a series of video reports on how the rest of the world views the us.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kulingana na ripoti za vyombo vya habari mnamo 1 aprili, korea kusini imepokea maombi ya msaada wa kupima virusi kutoka nchi 121 tofauti.

영어

per media reports on 1 april, south korea has received requests for virus testing assistance from 121 different countries.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kutoka chile zilikuja ripoti za watu kutakiwa kuhama makazi kwenye maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini kuchukua tahadhari dhidi ya uwezekano wa tsunami:

영어

from chile came reports of evacuation from cities along the northern coast in anticipation of a possible tsunami:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

blogu hii ina habari zaidi za hivi karibuni kuhusu jitihada za utetezi, ripoti za vyombo vya habari, na hadhi ya kisheria ya wanablogu wa zone9 nchini ethiopia.

영어

this blog contains the most current information about advocacy efforts, press coverage, and the legal status of the zone9 bloggers in ethiopia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

i paid a bribe ni njia mojawapo inayotumiwa na wanaharakati dhidi ya ufisadi nchini, kwa kutumia teknolojia mpya ili kuwawezesha kupata ripoti za utoaji wa hongo.'

영어

i paid a bribe is an initiative of kenyan anti-corruption activists fighting corruption in kenya using the new technologies to crowdsource corruption experiences.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mgogoro wa sasa unasemekana kuwa ulianza katika tukio la kisasi kilichotokana na uharibifu uliotokea mwezi januari – kumekuwa na ripoti za watoto na wazee kuwindwa na magenge ya watu wanaohaha wenye bunduki na mapanga.

영어

the current conflict is said to have started in reprisal for the destruction that occurred in january — there have been reports of children and the elderly being particularly targeted by roving gangs armed with guns and machetes.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ili kuwajibikia ukosefu wa data miongoni mwa ripoti za awali, tofauti zilikadiriwa huku upeo wa chini zaidi ukijumuisha visa vinavyojulikana na visivyojulikana vya hali ya watu kulazwa hospitalini ama kwa matibabu ya watu walio katika hali mahututi au la kama kigezo msingi na upeo wa juu ukitumia tu visa vilivyo na matokeo yanayojulikana kama kigezo msingi.

영어

to account for missing data among these preliminary reports, ranges were estimated with a lower bound including cases with both known and unknown status for hospitalization with and without icu admission as the denominator and an upper bound using only cases with known outcome status as the denominator.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

uzito wa kazi za kimatibabu zinazohusiana na ripoti za covid-19 kwa kutumia misimbo iliyoundwa kutambua visa, vile vinavyotathminiwa na mahali maambukizi yametokea hazijajumuishwa (picha 2--44)

영어

clinical workload related to reports of covid-19 using the codes created to flag cases, those being assessed and where the infection is located are excluded (figures 2-​-44)

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

malema, kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari, aliwaongoza wanafunzi katika chuo kikuu cha johannersburg katika wimbo unaosema: “piga risasi makaburu , ni wabakaji.”

영어

malema, according to media reports, led students at the university of johannesburg in a song saying: “shoot the boere , they are rapists.”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ripoti za awali zinasema kuwa mashabiki wa simon kamau, mmoja wa washindani katika kinyang’anyiro cha urais, walipambana na wale wa john taylor wa nrm, na kusababisha kupigwa risasi kwa wanafunzi hao wa ki-kenya.

영어

earlier reports suggested supporters of simon kamau, one of the contestants in the guild presidential race, clashed with those of nrm's john taylor, prompting the shooting of the kenyan students.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

linashika nafasi ya kwanza katika ripoti za ukatili, unyama, hali mbaya kwa maisha ya binadamu na vifo visivyo na maelezo katika vyumba vya gereza hilo, na hapa ndipo ambao utawala wa umekuwa maadui wake - na ndiyo sababu tulilifanya jambo la kuwaonyesha watu hali halisi ya lukyanivka, kuwa lengo letu.

영어

occupies the first place in the number of reports of cruelty, torture, inhuman living conditions and mysterious deaths in prison cells, and this is where the regime of has been its enemies - and this is why we have made it our goal to find a way to show people the real lukyanivka.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,747,181,676 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인