전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
hongera sana reshma, uishi maisha marefu na mazuri.
congratulations reshma, please stay alive and well.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
@shahanasiddiqui: niliacha kutoa machozi yangu mara baada ya kusikia kuokoka kimiujiza kwa reshma!
@shahanasiddiqui: holding back tears as i read through reshma's miraculous save!
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
waokoaji wa bangladeshi wakimuokoa mfanyakazi wa kiwanda cha kutengenezea nguo ajulikaye kwa jina la reshma kutoka kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka baada ya kufunikwa kwa vifusi vya jengo hilo kwa siku 17. picha na rehman asad.
bangladeshi rescuers retrieve garment worker reshma from the rubble of a collapsed building in savar after 17 days. image by rehman asad.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
baroness sayeeda hussain warsi (@sayeedawarsi), waziri mwandamizi wa uingerezera anayehusika na mambo ya nje na ushirikiano wa makoloni ya uingereza alitoa maoni yake mara baada ya kusikia habari za kuokolewa kwa reshma:
baroness sayeeda hussain warsi (@sayeedawarsi), senior minister of state for foreign and commonwealth affairs of uk, responded after hearing the news of reshma's rescue:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: