검색어: serikali kidedea kesi za uchaguzi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

serikali kidedea kesi za uchaguzi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kesi za kinidhamu

영어

disciplinary action

마지막 업데이트: 2020-01-22
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mbio za uchaguzi mkuu wa mwaka huu zitakuwa zito.

영어

this year's race for malawi general elections will be tight.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tanzania: majumuisho ya habari za uchaguzi mkuu wa 2010

영어

tanzania: 2010 general elections roundup · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tanzania: ulimwengu wa blogu wachambua kampeni za uchaguzi mkuu 2010

영어

tanzania: bloggers analyse tanzania 2010 election campaigns · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

karibu kwenye upande usiovutia wa kampeni za uchaguzi nchini brazil.

영어

welcome to the unpleasant side of brazilian electioneering.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

posti hii ni sehemu ya habari zetu maalumu za uchaguzi wa venezuela 2012.

영어

this post is part of our special coverage venezuela elections 2012.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

makala hii ni sehemu ya makala maalum za global voices za uchaguzi wa india 2009

영어

this post is part of the global voices special coverage on the indian elections 2009

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

obama kusingizia kesi za icc ni kutuumiza kulikozidi kipimo hasa baada ya kibaki kutangaza mapumziko ya kufurahia ushindi wake katika uchaguzi mwaka 2008.

영어

obama's icc-laced whip smacks of utmost contempt after kibaki declared a holiday in his honour after winning the elections in 2008.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hivi karibuni google iliuchapisha mradi wa eleitor 2010 katika ukurasa wake unaoandika habari za uchaguzi wa brazil.

영어

google recently featured eleitor 2010 on its page dedicated to the brazilian elections.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tanzania inaelekea katika uchaguzi wake mkuu mnamo oktoba 31 mwaka huu na hivi sasa kampeni za uchaguzi zinaelekea kileleni.

영어

tanzania will go to the polls on october 30, 2010 and the general election campaign is well underway.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuna kesi za kutisha za ufujaji ambazo zinabidi kutupiwa macho na papa.

영어

the serious and terrifying cases of embezzlement among others, merit papal attention.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

anashangaa ni kwa nini operesheni dhidi ya magaidi hawa waliokuwepo kwa miaka sita sasa inafanyika katika kipindi cha tarehe za uchaguzi wa rais.

영어

he wonders why the offensive against an insurgency that has lasted for six years coincides with the date of the presidential election.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ni nini kinachowasukuma waigizaji wengi wa bollywood kutoka kwenye nyanja walizozoea na kutoa michango yao kwenye kampeni za uchaguzi huu wa india?

영어

what could be the driving force that has prompted so many bollywood actors to step out of their comfort zone and do their bit for this indian election campaign?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata kama vyombo vya habari vya tanzania vinahisi kwamba viko huru kuripoti kuhusu mkabiliano mkali uliopo kwenye mbio za uchaguzi, hili ni jambo lingine.

영어

whether the tanzanian press feel at liberty to cover this tight race is another matter.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kesi za kisheria kati ya wazazi wa kibaolojia na wazazi wa kuasili zilizikabili mahakama za marekani kwa miaka mingi.

영어

lawsuits between birth parents and adopted parents tied up u.s. courts for years.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

(g19) walituma barua mbili kwa serikali mnamo disemba 2009, wakidai hatua za haraka kurekebisha sheria za uchaguzi, rushwa, migongano ya kimaslahi, na kuingiliana kati ya chama cha frelimo na serikali.

영어

budget support donors (g19) sent two letters to government in december 2009, demanding rapid moves on electoral law reforms, corruption, conflict of interest, and the overlap between the frelimo party and the state.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hatua za uchaguzi wa kiuchumi zisizoleta mantiki miongoni mwa wakurugenzi wa mashirika ya biashara ya afrika yanayokabiliwa na mashinikizo ya ubaguzi wa rangi, au familia zao zilikuwa sehemu muhimu ya utafiti huo.

영어

the irrationality of economic choices of african business executives facing the social pressure of ethnicity,or their extended family has been extensively studied. success stories in africa- sucessful and entrepreneurial leaders in africa

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama tutaona kesi za vigogo wa mashirika binafsi na ya umma wakiletwa mahakamani, tutaona kwamba utawala wa zuma uko makini katika kutokomeza ufisadi.

영어

if we see more high profile cases of private and public corruption brought to court, we will know the zuma administration is serious about stamping out corruption.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kesi za hivi karibuni za mameneja wa viwanja vya ndege vya msumbiji, kufujwa kwa mamilioni ya dola ya fedha za taifa vilikumbusha kuwa ufisadi unaendelea kutokea katika ngazi za juu.

영어

the recent trial of managers of mozambican airports, a state enterprise, for embezzlement of millions of dollars of state monies reminded that corruption continues to occur at a high level.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@simonallison: ni ajabu lakini ndio ukweli wenyewe: nilikuwa mwandishi pekee wa magazeti na tovuti za habari za afrika kusini kuandika habari za uchaguzi wa lesotho.

영어

@simonallison: strange but true: i was the only journalist from any sa print or online pub. covering lesotho elections.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,774,866,754 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인