검색어: tumepoteza mwiko na maji ya uugali imechemka (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

tumepoteza mwiko na maji ya uugali imechemka

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

watakuwa wakizunguka baina ya hiyo na maji ya moto yanayo chemka.

영어

going round between it and balling water fierce.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nawa mikono yako mara kwa mara kwa sabuni na maji ya moto, na kisha kausha mikono yako kwa kutumia taulo safi.

영어

frequently wash your hands with soap and warm water, and then dry your hands on a clean towel.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

niliwafunga wote pamoja ili wasibebwe na maji ya bahari, lakini unajua wakati miili imezama katika maji ya bahari, humomonyoka.

영어

i tied them together so they would not be washed away by the sea, but you know when bodies are immersed in sea water, they fall apart.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

polisi wa kutuliza ghasia walianza kujaribu kuwatuliza waandamanaji waliokuwa wamejikinga na moshi wa mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kuanzia saa 12 jioni tarehe 28 septemba.

영어

riot police began attempting to disperse protesters wielding batons and deploying tear gas and pepper spray beginning at 6 p.m. on september 28.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nchini hong kong, waandamanaji wa amani wanaodai uchaguzi huru wa kidemokrasia halisi wanatumia miamvuli kujilinda na mabomu na kujizuia kulowa na maji ya washawasha kutoka kwa polisi.

영어

in hong kong, peaceful demonstrators demanding genuine democratic elections are using umbrellas to shield themselves from pepper spray and tear gas and to to keep them from getting wet if the police deploys water cannons.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maeneo mengi pia yalishuhudia watu kununua kwa hofu jambo lililosababisha maduka kukosa bidhaa muhimu za kama vile vyakula, karatasi shashi na maji ya chupa na kuibua upungufu wa usambazaji wa bidhaa.

영어

several localities also witnessed panic buying that led to shelves being cleared of grocery essentials such as food, toilet paper, and bottled water, inducing supply shortages.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mamlaka ya jiji la lanzhou imetoa angalizo kwa raia wake la kutokutumia maji ya bomba kutokana na maji hayo kugundulika kuchanganyikana na kemikali hatari, hali iliyopelekea maji ya viwandani kugombaniwa katika maduka mbali mbali ya jiji.

영어

local authorities in lanzhou have warned residents against drinking tap water due to an outbreak of severe pollution in its water supply, prompting scenes of frantic bottled water purchases across the city's supermarkets.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

idara husika zimeshakusanya maji ya kwenye chupa na ndoo za maji kutoka katika maeneo ya jirani, na maji haya yatagawanywa kwa raia kupitia idara na jumuia mbalimbali..

영어

relevant departments have been gathering bottled water and buckets of water from neighbouring areas, and these will be handed to residents via different administrative departments and organizations.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa kushirikiana na wizara ya afya ya guinea, unicef imepeleka tani tano za madawa na vifaa vya matibabu kama vile glovu za mikononi, vitambaa, mablanketi, vitambaa vya kufunika uso, na maji ya kupunguza upungufu wa maji mwilini kuwalinda wafanyakazi wa afya na kuwatibu wagonjwa.

영어

in collaboration with the guinean ministry of health, unicef has delivered in most affected areas five tons of medicines and medical equipment such as gloves, plastic mats, blankets, nose guard, and rehydration solutions to protect medical staff and treat patients.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika milima cochabamba, bolivia, mwaka 2000, oscar olivera akishirikiana na wengine walianzisha vuguvugu maarufu la upinzani lililokuja kufahamika kama vita ya maji cochabamba -mapambano dhidi ya hatua ya bolvia kubinafsisha maji; ikiwa ni pamoja na maji ya mvua.

영어

in the dizzying heights of cochabamba, bolivia, in 2000, oscar olivera together with others waged a popular resistance that came to be known as the cochabamba water wars- a struggle against the privatisation of bolivia’s water; including its rain water.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,767,447,017 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인