검색어: tuwe wote kwenye maisha (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

tuwe wote kwenye maisha

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kwenye maisha yangu

영어

hii ni kwajili yako nimetoa kwa moyo moyo wangu kwa sababu kwa kipindi

마지막 업데이트: 2023-11-01
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hekima,amani, busala na upendo vitawale kwenye maisha yako

영어

wisdom, unity and peace

마지막 업데이트: 2023-09-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuna mambo kwenye maisha ambayo ni matamu sana kiasi kwamba huwezi kuyachoka.

영어

there are certain things in life which are so sweet that you can never ever get enough of them.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

vuma augustus alisema hakuwahi kuona watu walioungana pamoja kama hao kwenye maisha yake:

영어

vuma augustus said he'd never seen people so united in all his life:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kati ya watu hatari kudeal nao kwenye maisha ni wale ambao hupenda “excessive admiration

영어

among the most dangerous people to deal with in life are those who love "excessive admiration."

마지막 업데이트: 2023-11-26
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

ninadhani museveni atadumu zaidi ya kony, lakini wakati mwingine mambo yasiyo ya kawaida hutokea kwenye maisha haya yasiyotabirika kwa hiyo sitajiapiza kwa hilo.

영어

i think museveni will outlast kony, but strange things happen in our neck of the woods so i wouldn’t place a bet on it.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

natumai wote tuwazima wa afya, naona mshahara leo umetoka kwahiyo ijumaa tukutane kwa ajili ya ununuzi wa hisa wapendwa, karibuni sana kwa malengo na maslahi ya wote kwenye kikundi

영어

i hope all of us healthy adults, i see the salary today is out so on friday we meet for the purchase of dear shares, very soon for the goals and interests of all in the group

마지막 업데이트: 2023-02-22
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

"ninatumaini kwenye maisha yangu, miaka 30 ijayo, tutaweza kutazama nyuma kuona nyakati hizi na kusema, 'tumevuka kipindi hicho," anasema.

영어

"i really hope in my lifetime, 30 years down the road, we're able to look back at this time and say, 'hey, now we're beyond it,'" she says.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kikundi hicho kinahitaji kutengeneza upya sura ya mgogoro wa somalia kama vita ya wa-somali na wageni, na sio wa-somali wanaotafuta amani na kurudi kwenye maisha ya kawaida didi ya harakati za kikatili za jihad.

영어

it desperately needs to reframe the conflict in somalia as somalis versus the foreigners, not as somalis who seek peace and a return to normalcy versus a toxic jihadi movement.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na ndiyo, kama ilivyo kwenye maisha halisi, video hii ni halisi: wakati mwingi wa siku, wanawake na wanaume wa el salvador wanaoneka kuwa na furaha na kwa hakika hawana msongo wa habari mbaya zinazotangazwa kwenye taarifa za vyombo vya habari na kuzinya zionekane ni halisi kuliko ukweli unaonekana kwenye video hii.

영어

and yes, as in real life, this is also real: during most of the day, women and men of el salvador are happy rather than distressed by the bad news that some media outlets report and pretend to make more real than the reality this video shows.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kibinafsi, kilichonihamasisha kuandaa tukio hili la kugawa vitabu, ni wazo ambalo lina mvuto: ninaamini kuwa kuna vitu kwenye maisha ambavyo vyapaswa kuwa bure, kama elimu na kusoma: vitabu havipaswi kuwa kwa ajili ya wale wanaovilipia pekee, vyapaswa kupatikana zaidi, watu walipate kwenye maeneo ya umma bila kuvilipia (iwe fedha au kazi) ili kuvipata.

영어

personally, what drives me to organize this massive giveaway event, has to do with an idea that is a bit romantic: i believe that there are things in live that should be free, like education and reading; books should not only be for those who can pay for them, they should be more accessible, people should find them in public spaces without having to give something up (money or work) to acquire them.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,780,024,986 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인