검색어: upweke (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

upweke

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

upweke ni uvundo

영어

loneliness is a lonely

마지막 업데이트: 2023-07-11
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nimekuwa upweke, mimi wamekuwa wakisubiri kwa you

영어

i have been lonely,i have been waiting for you

마지막 업데이트: 2014-04-02
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wengi wao wanakabiliana madhila ya kutengwa, kupuuzwa na upweke.

영어

many of them face isolation, neglect and loneliness.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hali hii imesababisha kuongezeka kwa wazee wengi wanaolazimika kuishi maisha ya upweke.

영어

this has led to an increasing number of senior citizens being forced to live alone.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa hakika, wazee hawastahili kutelekezwa kwenye kisiwa cha upweke na ukiwa katika miaka yao ya uzeeni.

영어

certainly, the elderly do not deserve to be marooned on the island of loneliness and abandonment in their silver years.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wagonjwa wanaoshukiwa au waliothibitishwa kuwa na covid-19 mara nyingi hupitia hali ya hofu kubwa ya ugonjwa huu unaoambukiza sana na hata kuwauwa watu, na watu walio kwenye karantini pia wanapitia hali ya uchovu, upweke na hasira.

영어

patients with suspected or confirmed covid-19 mostly experience great fear of the highly contagious and even fatal disease, and quarantined people also experience boredom, loneliness, and anger.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

pia tukumbuke kwamba, mapambano yake akiwa katika upweke wake huku akiwa chini ya ulinzi mkali katika makazi yake ya huko rangoon ni sehemu ya mapambano mapana zaidi, ulimwengu kote, katika kutafuta kuikomboa roho ya kibinadamu kutoka katika tawala za kimabavu za kisiasa na manyanyaso ya kisaikolojia.

영어

we must also remember that lonely struggle taking place in a heavily guarded compound in rangoon is part of the much larger struggle, worldwide, for the emancipation of the human spirit from political tyranny and psychological subjection.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

aah vipi mizigo umesha weka tayari mh aah sijechelewa nikaja achwa na gari mh aah basi jikaze usilie mpenzi aah mi nitarudi niombee kwa mwenyezi aah zile taabu na njaa msimu mzima mavuno hakuna hua nakosa raha pale mkikosa cha kutafuna roho yangu inauma sema nitafanya nini na pesa sina nakuonea na huruma bora niende mjini kusaka tumaa kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea wadanganye na vibagia waambie pipi nitawaletea kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea na usichoke kuvumilia na kila siku kuniombea wewe unajua kwamba nafsi na roho vitakuwa na wasiwasi upweke na moyo utajawa na simanzi nitapo kuwa nakwenda shambani alafu niko peke yangu honey nitapo kuja kuwa na majirani nitaumia aah pale ninapotoka kisimani ama nipo na kuni kichwani sina wa kunitua nyumbani nitalia maneno yako yananifanya nakosa raha na mawazo hata mwenzako sijawahi kufika dar huu ndo mwanzo vile nakwenda na sijui pa kukaa wala mavazi ooh we niombee niepushwe na balaa na maradhi ooh eeh kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea wadanganye na vibagia waambie pipi nitawaletea kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea na usichoke kuvumilia na kila siku kuniombea unapokwenda kama ukifika salama utukumbuke na sisi usisahau kwaba mkeo na wana umetuacha na dhiki hilo usijali ila naomba chunga sana ogopa na marafiki wakikulagai hata kwa mbegu za mtama waambie sidanganyiki unapokwenda kama ukifika salama utukumbuke na sisi kumbuka mkeo nyumbani na wana umetuacha na dhiki hilo usijali ila naomba chunga sana ogopa na marafiki wakikulagai hata kwa mbegu za mtama waambie sidanganyiki eeeh eeeh oooh nitarejea mama niombee nirudi salama oooh watoto wadanganye iih uuh uuh aah tozalee zijaee hmm kamaaa… kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) wadanganye (uuh wadanganyee) na vibagia waambie pipi nitawaletea kama watoto wakinililia (kamaa)waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) na usichoke kuvumilia (usichoke) na kila siku kuniombea (nirudi salama)

영어

query length limit excedeed. max allowed query : 500 chars

마지막 업데이트: 2017-12-19
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,795,017,550 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인