검색어: swala (스와힐리어 - 프랑스어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

프랑스어

정보

스와힐리어

swala

프랑스어

gazelle

마지막 업데이트: 2013-01-11
사용 빈도: 2
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

jinsi watu watakavyoendelea kuongea kuhusu ufisadi, ndivyo watu wataendelea kujua kuhusu swala hili.

프랑스어

plus on en parle, plus cela attire l'attention et les dirigeants et les législateurs seront forcés de se pencher sur la question.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

ms daffodil anazishutumu mamlaka hizo kwa kulichukulia swala hilo katika uzito mkubwa kuliko linavyostahili:

프랑스어

ms daffodil a accusé les autorités d'avoir réagi de façon excessive :

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

swala la tibet linaonekana kuwa mbali nasi, lakini kama binadamu, haimaanishi kuwa hatuwezi kufanya kitu.

프랑스어

la question du tibet semble très éloignée de nous mais en tant qu’être humain, cela ne signifie pas que nous ne puissions rien faire.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

wanablogu hao walitumia huduma ya twita kuchunguza swala hilo na kuitia shinikizo serikali ya ugiriki kusimamisha usafirishwaji wa silaha hizo.

프랑스어

ceux-ci ont alors utilisé la plateforme de microblogging twitter pour enquêter, puis pour faire pression sur le gouvernement grec afin de bloquer le transfert des armes vers un autre bateau .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

hili ni swala moja la kuvutia ambalo nimeona likiongelewa twitter kwa muda mrefu. mara mingi watu huwa wanateta kuhusu kenya power.

프랑스어

c'est une des discussions les plus animées que j'aie vues sur twitter depuis longtemps.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

jinsi hugues serraf alivyolitizama swala hili kulizaa hali tete kati ya wasomaji wengi wa lugha ya kifaransa, wote, wasomaji wa kikongo na wale wakiislamu.

프랑스어

le traitement par serraf de ces questions a créé une controverse parmi de nombreux lecteurs francophones, congolais aussi bien que musulmans.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

elia varela serra aliandika katika tovuti hii kuhusu swala hili, siku chache tu zilizopita, alitafsiri sehemu ya makala kutoka rue89 iliyoandikwa na mwanahabari hugues serraf.

프랑스어

elia varela serra a écrit là-dessus sur ce site, il y a seulement quelques jours, traduisant une partie d' un article du journaliste hugues serraf dans rue89.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

wakati kampeni kwa ajili ya kuongeza uelewano na majadiliano dhidi ya ubaguzi wa rangi kwenye uwanja kumeongezeka katika miaka michache iliyopita katika ulaya, swala mara chache hushughulikiwa ndani ya viwanja vya soka nchini brazil.

프랑스어

les campagnes pour sensibiliser contre le racisme sur les terrains de foot se sont intensifiées en europe ces dernières années mais le sujet est rarement abordé à l'intérieur des stades au brésil.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

baada ya mashambulizi dhidi ya wafuasi wa morsy ambapo zaidi ya watu 600 walifariki, wafuasi wa morsy walikusanyika baada ya swala ya ijumaa wakavamia na kuchoma makanisa mawili, na baadhi ya maduka yanayomilikiwa na wakristo katika kijiji cha mallawi.

프랑스어

après l'assaut contre la manifestation pro-morsi qui a fait plus de 600 morts, les partisans de morsi se sont rassemblés après la prière pour mettre à sac et incendier deux églises et quelques magasins appartenant à des chrétiens, dans le village de mallawi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

baada ya swala, watu walikusanyika mbele ya msikiti na kuandamana kupitia barabara za mitaa ya wad nubawi wakiimba kauli mbiu za kupinga utawala wa nchi hiyo. maandamano yalimalizika saa chache kabla ya polisi kuwatawanya waandamanaji kwa kutumia mabomu ya machozi na polisi waliokuwa wamevaa kiraia walijipenyeza kwenye makundi ya waandamanaji.

프랑스어

après la prière, les gens se sont rassemblés devant la mosquée et ont défilé sur l'une des principales artères de wad nubawi en scandant des slogans contre le régime, pendant plusieurs heures avant que la police ne disperse les présents à coup de gaz lacrymogènes et que des agents en civil n'infiltrent les rangs des protestataires.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

maisha na nyakati za mwenye nyumba wa kihindi(the life and times of an indian homemaker)inaleta sehemu ya barua pepe ya shujaa aliyeponea mateso ya ngono utotoni ambaye pia alitizama sehemu ya pili ya swala hilo:

프랑스어

le blog the life and times of an indian homemaker (la vie et les heures d'une femme au foyer indienne) partage un courriel d'une victime d'abus sexuels, un homme qui a regardé le deuxième épisode sur ce sujet :

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

huku ndio “kulichukulia swala katika uzito mkubwa kuliko linavyostahili” … yaani, fikiria kwa dakika hapa… kama wakitaka, wanaweza kwenda bila ya nguo za ndani siku yoyote, au sio?

프랑스어

on peut dire que c'est exagéré comme réaction....je veux dire, réfléchissez une seconde...si c'est leur truc, elles peuvent ne pas porter de dessus n'importe quel autre jour, non ?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

인적 기여로
9,155,781,617 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인