검색어: ughaibuni (스와힐리어 - 프랑스어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

French

정보

Swahili

ughaibuni

French

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

프랑스어

정보

스와힐리어

hata wakazakh wanaoishi ughaibuni wanashiriki.

프랑스어

même les kazakhs qui vivent à l'étranger y prennent part.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

madagascar: kuishi ughaibuni hubadili uhusiano

프랑스어

madagascar : vivre à l'étranger vous change son homme

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bloga wa ki-barbados aliye ughaibuni jdid anasema:

프랑스어

un blogueur de la barbade, qui vit au canada, jdid écrit:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

moja ya matatizo ya kwanza wanayokumbana nayo huko ughaibuni ni kwamba watu wachache tu hufahamu ni wapi bahrain ilipo.

프랑스어

l’un des premiers problèmes auxquels ils sont confrontés est que peu de personnes savent où se trouve bahreïn.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

habari njema zimeenea kuanzia uchina mpaka karibeani, kutokea fukwe za visiwa mpaka ughaibuni na kila mahala.

프랑스어

la bonne nouvelle s'est répandue de chine aux caraïbes, des îles aux diaporas caribéennes dans le monde entier.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakameruni wa nyumbani na wale wa ughaibuni wamekuwa wakijadili maneno yaliyotamkwa na kiongozi wa marekani mwenye asili ya afrika kwa kupitia ulimwengu wa blogu.

프랑스어

les camerounais d'ici et de la diaspora ont réagi sur la blogosphère aux mots prononcés par le dirigeant américain d'origine africaine.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hivi karibuni wanablogu walijadili athari ya kuishi ughaibuni kwa mienendo ya wamadagascar na jinsi mabadiliko hayo yanavyoathiri uhusiano na marafiki na ndugu zao walio nyumbani.

프랑스어

dernièrement, les blogueurs ont abordé l'influence de l'expatriation sur le comportement des malgaches, et comment leur relation à leurs amis et proches restés au pays en est changée.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lengo la somalia speaks ni kukusanya sauti ambazo hazisikiki kutokea ndani ya eneo vile vile kutokea kwa wasomali walio ughaibuni kwa kuuliza kupitia ujumbe mfupi wa simu za mkononi: kwa jinsi gani mgogoro wa somalia umekuathiri?

프랑스어

l'objectif de somalia speaks est de rassembler des voix inconnues de l'intérieur de la région ainsi que de la diaspora originaire de somalie en demandant par sms : comment le conflit en somalie a affecté votre vie ?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, mwaka uliopita umekuwa mgumu kwa watu wa najeria walio ughaibuni: katika miezi michache iliyopita, mfululizo wa matukio yanayoionyesha naijeria katika mwanga wa utata ulizua majadiliano kwenye ulimwengu wa blogu.

프랑스어

cependant, l'année dernière a été particulièrement difficile pour la réputation du nigeria à l'étranger: au cours des derniers mois, une série d'événements présentant le pays sous une lumière douteuse ont alimenté les discussions sur la blogosphère.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

masuala mengine ya uchaguzi ambayo yalikuwa yakijadiliwa na wanablogu au “mabloga” yalijumuisha namna ambavyo redio za kwenye mtandao wa intaneti zingeweza kuwapasha wamalawi waishio ughaibuni habari kama zinavyotokea, kadhalika jinsi bunge jipya litakavyokuwa, je nini watakachofanya wabunge wengi wapya ambao wana shahada za za uprofesa wa chuo kikuu pamoja na kazi za kimataifa, wenye shada za falsafa, kadhalika shahada nyingine za juu.

프랑스어

d'autres aspects fascinants des élections, débattus dans la “mabloga”, comprennent le rôle de la radio sur internet dans l'information destinée à la diaspora du malawi sur le déroulement des élections et la configuration du nouveau parlement, avec l'élection d'un bon nombre d'universitaires, de fonctionnaires internationaux, de titulaires de doctorats et d'autres qualifications professionnelles universitaires.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,782,225,790 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인