검색어: demolition (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

demolition

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

wang's house before demolition.

스와힐리어

nyumba ya akina wang kabla ya kubomolewa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

china: forced demolition · global voices

스와힐리어

china: uvunjaji nyumba kwa kutumia mabavu

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

her son has no place to live, due to the demolition.

스와힐리어

mtoto wake wa kiume hana mahali pa kuishi, kwa sababu ya bomoabomoa hiyo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

this demolition has sparked a debate on the blogs of two expatriates in cameroon.

스와힐리어

bomoabomoa hii imezua mjadala katika blogu za wafanyakazi wawili kutoka nje walioko kameruni.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

a recent case of forced demolition has raised attention to the protection of citizens’ rights and fair conflict resolution in china.

스와힐리어

visa viwili vya uvunjaji nyumba kwa mabavu vimeibua hisia za kutaka kulindwa zaidi kwa haki za raia na utatuzi wa migogoro nchini uchina.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the historical city that was listed as a world heritage site in the 70s is now facing demolition and changing all its characteristics and officials are dealing with it as if it is an out of control informal city

스와힐리어

mji wa kihistoria ambao uliorodheshwa kama urithi wa dunia katika miaka ya 70 sasa unakabiliwa na uharibifu na kubadilika kila sifa yake na viongozi wanaishughulikia hali hii kama jiji lisilo rasmi lisilodhibitika tena

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

cases like these are known as ‘nail houses’, referring to homeowners who refuse to move from demolition zones, usually because of disagreement with the compensation offered.

스와힐리어

visa kama hivi vinajulikana kama 'nyumba za misumari', yaani ikimaanisha wenye nyumba wanaogoma kuhama kutoka katika maeneo yanayotakiwa kuvunjwa, mara nyingi ni kutokana na kutokubaliana kwao na kiwango cha fidia kinachotolewa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

comparisons were made with a case that happened last year, where a woman in the minhang district of shanghai threw self-made petrol bombs at a demolition crew preparing to destroy her house, which is the site of a transportation hub for the 2010 shanghai expo.

스와힐리어

ulinganishaji wa kisa hicho na kingine kilichotokea mwaka jana cha mwanamke mmoja katika wilaya ya minhang shanghai aliyewatupia mafundi waliokuwa wakijiandaa kuvunja nyumba yake mabomu ya petroli aliyoyatengeneza, katika eneo ambapo kutakuwa kitovu cha usafirishaji kwa ajili ya eneo la kibiashara la shanghai 2010.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

highlighting the theme “sawang-sawa na tayo (we are fed up),” the campout protest tackled a broad range of issues from the aquino administration's budget cuts for education and social services, nonstop oil and basic commodities price hikes, land reform, migrant issues, urban poor demolitions, and persistent human rights violations.

스와힐리어

wakiionyesha dhima ya “sawang-sawa na tayo” (tumechoka),” maandamano hayo ya kukaa yalidai mambo mengi kuanzia na kitendo cha utawala wa aquino kupunguza bajeti ya elimu na huduma za jamii, mfumuko mkubwa wa bei ya mafuta na bidhaa muhimu, marekebisho ya sheria ya ardhi, masuala ya uhamiaji, ubomoaji holela wa makazi ya watu maskini mijini, na uvunjifu usiokoma wa haki za binadamu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,729,811,460 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인