검색어: highlighting (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

highlighting

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

watch our new video highlighting images and quotations from some of our supporters:

스와힐리어

tazama video yetu mpya inayoonyesha picha na nukuu kutoka kwa baadhi ya wanaotuunga mkono:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

a month into usamah’s arrest, mimz wrote a blog post highlighting his detention.

스와힐리어

mwezi mmoja tangu kukamatwa kwa usamah, mimz aliandika makala kwenye bloguakizungumzia kutiwa kwake mahabusu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

highlighting the atmosphere among care personnel, amadou tham camara wrote the following on guinea news:

스와힐리어

kuonyesha hali kati ya wafanyakazi wa huduma, amadou tham camara alindika yafuatato katika guinea news:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

all of a sudden, there is a huge increase in number of mass media content highlighting the bad side of facebook and social media.

스와힐리어

ghafla tu, kuna mwongezeko mkubwa wa maudhui yanayotoa taswira hasi ya mtandao wa facebook na mitandao mingine ya kijamii.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

siromani dhungana posts an analysis on united we blog! for a democratic nepal highlighting that corruption in nepal is becoming mainstream and acceptable.

스와힐리어

siromani dhungana anaandika uchambuzi kwenye blogu ya united we blog! akieleza mwenendo wa hali ya mambo nchini nepal kwa kuonyesha ufisadi namna ufisadi unavyoanza kuwa sehemu ya maisha na kukubalika.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

from syria, nasdaq on the other hand was occupied with analyzing the different reasons people get behind a certain team, highlighting religion as a factor:

스와힐리어

kutoka syria, nasdaq nasdaq kwa upande mwingine alikuwa amezama katika kuchambua sababu tofauti za watu kuwa nyuma ya timu fulani, anapendekeza dini kuwa mojawapo ya sababu :

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

ali dedicated most of his life to highlighting the plight of hazara, for those who knew him and even those who did not, he has become a symbol of the struggle for justice for the hazara community in pakistan.

스와힐리어

ali alitumia muda wake mwingi kuelezea hali ngumu wanayopitia watu wa hazara, kjwa wale waliotokea kumfahamu na wale ambao hawakumfahamu, amekuwa ni mfano wa kuigwa katika harakati za kutafuta amani kwa jamii ya watu wa hazara nchini pakistani.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

in the forum, netizens' questions focused on national mobile telephonic services, cost and access to the internet, highlighting the impossibility of connecting to the internet from cuban homes.

스와힐리어

katika mijadala ya mtandaoni maswali yalijikita zaidi kwenye huduma za kitaifa za simu za mikononi, gharama na na upatikanaji wa huduma ya intaneti, wakizungumzia hali ya kutokuwapo kwa uwezekano wa kupata huduma ya intaneti watu wakiwa majumbani mwao.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

continuing efforts to dispense with term limits thus reveal a major disconnect between african leaders and african citizens on this issue, underlining the lingering legacy of big-man rule on the continent and highlighting the fragility of african democracies.

스와힐리어

juhudi zinazoendelea za kuondoa ukomo wa madaraka zinaonesha tofauti kubwa kati ya matakwa ya watawala wa afrika dhidi ya matakwa ya wananchi wanaowongoza, hali inayoonesha kuendelea kuwepo kwa hulka ya udikteta barani humo na hivyo kuonesha dalili mbaya kwa demokrasia ya afrika.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

finally, el periodista cívico (the civic journal) has been curating information about the national demonstrations, highlighting regular updates about protesters who are under arrest in various venezuelan regions.

스와힐리어

mwisho, el periodista cívico (mwandishi wa haki za raia) amekuwa akiandika habari kuhusu maandamano hayo ya kitaifa, akiweka habari mpya kuhusu waandamanaji waliokuwa wamewekwa kizuizini katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

highlighting the theme “sawang-sawa na tayo (we are fed up),” the campout protest tackled a broad range of issues from the aquino administration's budget cuts for education and social services, nonstop oil and basic commodities price hikes, land reform, migrant issues, urban poor demolitions, and persistent human rights violations.

스와힐리어

wakiionyesha dhima ya “sawang-sawa na tayo” (tumechoka),” maandamano hayo ya kukaa yalidai mambo mengi kuanzia na kitendo cha utawala wa aquino kupunguza bajeti ya elimu na huduma za jamii, mfumuko mkubwa wa bei ya mafuta na bidhaa muhimu, marekebisho ya sheria ya ardhi, masuala ya uhamiaji, ubomoaji holela wa makazi ya watu maskini mijini, na uvunjifu usiokoma wa haki za binadamu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,800,195,495 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인