검색어: palestinians (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

palestinians

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

400 palestinians were being given shelter there by the un.

스와힐리어

wapalestina 400 walipewa hifadhi shuleni hapo na umoja wa mataifa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

millions more displaced and emigrant palestinians live around the world.

스와힐리어

mamilioni ya wahamiaji wa kipalestina na wale walioteguliwa kutoka kwenye makazi yao palestinians wanaishi sehemu mbalimbali duniani.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

indonesians pray for the palestinians who were killed in the airstrikes launched by israel.

스와힐리어

wa-indonesia wakisoma dua kwa ajili ya wapalestina waliouawa kwenye mashambulio yaliyoanzishwa na israel.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

israeli forces have begun to enter gaza, after 10 days of shelling that has killed more than 200 palestinians.

스와힐리어

vikosi vya kijeshi vya israeli vimeanza kuingia gaza, baada ya siku 10 za mapigano zilizochukua maisha ya wapalestina 200.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

home to about 1.7 million palestinians, gaza is bordered by israel on one side and egypt on another.

스와힐리어

gaza, inayoelezwa kama gereza la wazi, ndiko wanakoishi wa-palestina milioni 2, ambao hawana pa kukimbilia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

this is particularly unfortunate at a moment when the palestinians have formed a unity government that has been recognized by the international community.

스와힐리어

hii ni hasa ya kusikitisha kwa wakati ambao wapalestina wameunda serikali ya umoja ambayo imetambuliwa na jumuiya ya kimataifa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

"today, the people of south africa marched in support of the palestinians that are suffering under the occupation.

스와힐리어

"leo, watu wa afrika kusini wameandamana kuwaunga mkono wa-palestina kwa kuteseka na uvamizi huo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

@maathmusleh: 15 were murdered in gaza till now, no worries they're just palestinians!! #gazaunderattack

스와힐리어

@maathmusleh: watu 15 wameuawa mjini gaza mpaka sasa, hakuna shaka watakuwa ni wa-palestina!! #gazaunderattack

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

although these capabilities are incomparable to the military strength exerted by israel, yet it has made us more certain than ever that palestinians will fight to the very end to protect their own.

스와힐리어

japokuwa nguvu hizohaziwezi kulingana na nguvu zilizoshinikizwa na israeli, zimetufanya tuwe na hakika zaidi kwamba wapalestina watapigana mpaka mwisho kulinda kile kilicho chao.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

hafez omar, a palestinian activist and artist, tweeted : this is the first time since 1936 that the palestinians have protested for the sake of the cost of living!

스와힐리어

hafez omar, mpalestina mwanaharakati na msanii alitwiti: hii ni mara ya kwanza tokea mwaka 1936 tangu wapalestina walipoandamana kwa ajili ya kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

nik ahnag, a leading cartoonist and blogger, has published a couple of cartoons about the gaza invasion and the inequal power balance between israel and palestinians on one side, and iranian government repression on the other side.

스와힐리어

nik ahnag, bloga mashuri na mchoraji wa vikaragosi, alichora picha za vichekesho zinazohusu uvamizi wa gaza na mizani ya nguvu zisizolingana kati ya israeli na palestina kwenye upande mmoja na ukandamizaji wa serikali ya irani kwenye upande mwingine.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

today is the 11th day of the start of “operation defensive edge,” which has left more than 230 palestinians dead, including women and children, and more than 1,500 injured.

스와힐리어

leo ni siku ya 11 tangu kuanza kwa "operesheni ya kujilinda", ambayo imepoteza maisha ya wa-palestina 230, wakiwemo wanawake na watoto, na zaidi ya watu 1,500 wakijeruhiwa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

palestinian national authority

스와힐리어

palestina

마지막 업데이트: 2014-11-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

인적 기여로
7,747,352,926 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인