검색어: paramilitary (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

for its part, the military has denied that it organized paramilitary groups to harass the lumad communities.

스와힐리어

hata hivyo, jeshi limekanusha kuwa liliratibu makundi mithili ya jeshi kwa ajili ya kuzidhalilisha jamii za watu wa lumad.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

but the governor of the province disputed this and accused the military of creating and arming the paramilitary groups.

스와힐리어

lakini, gavana wa jimbo alitupilia mbali madai haya na kulitupia jeshi lawama kwa kuasisi na kutoa silaha kwa makundi haya mithili ya jeshi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

various lumad groups which are resisting the entry of mining firms into their communities has been in the news during september and october 2015 after they were attacked by paramilitary groups.

스와힐리어

makundi anuai ya lumad ambayo yanapinga kuingiliwa na makampuni ya uchimbaji madini yamejitokeza kwenye vyombo vya habari kati ya miezi ya septemba na oktoba 2015 mara baada ya kushambuliwa na makundi ya watu mithili ya wanajeshi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

lumad leaders from surigao province reported that paramilitary groups have attacked their schools and communities, forcing more than 2,000 people to leave their homes in the mountains and seek shelter in the city center.

스와힐리어

viongozi wa lumad kutoka kwenye jimbo la surigao walitaarifu kuwa vikundi vya wanamgambo vilivamia shule zao pamoja na wanajamii, hali iliyolazimu zaidi ya watu 2,000 kuyakimbia makazi yao maeneo ya milimani na kutafuta hifadhi katika maeneo ya jiji.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

"oplan bayanihan pushes lumads to evacuate their lands, but also paves the way for corporations to take hold of the land, and use the armed forces of the philippines as their own security force as they plunder and suck the earth of its natural elements." image and caption by anakbayan usa.reacting to reports that paramilitary activities and mining operations are displacing lumad tribes, many filipinos have called for urgent government action to stop the violence against the indigenous peoples.

스와힐리어

"oplan bayanihan yapelekea jamii ya lumad kuziacha ardhi zao, lakini pia wanaweka mazingira ya makampuni kumiliki ardhi na pia wanatumia majeshi ya ufilipino kama ulinzi wao huku wakipora na kujizolea maliasili ya madini."picha kwa hisani ya anakbayan usa.akizungumizia habari kuwa shughuli zifananazo za kijeshi pamoja na zile za uchimbaji madini zinachochea kuondosha makabila ya lumad kwenye maeneo yao, raia wengi wa ufilipino wameita sserikali kuchukua hatua mapema iwezekanavyo ili kukomesha ukatili dhidi ya wazawa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
9,159,375,616 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인