검색어: penitently (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

penitently

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

plead with your lord for forgiveness, then turn to him penitently.

스와힐리어

na ili mumwombe msamaha mola wenu mlezi, kisha mtubie kwake.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

when distress befalls man, he supplicates his lord, turning to him penitently.

스와힐리어

na taabu inapo mfikia mtu humwomba mola wake mlezi naye ameelekea kwake.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

and turn penitently unto allah ye all, o ye believers, haply ye may thrive!

스와힐리어

wala wasipige chini miguu yao ili yajuulikane mapambo waliyo yaficha. na tubuni nyote kwa mwenyezi mungu, enyi waumini, ili mpate kufanikiwa.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

keep their company honourably in this world and follow the way of those who turn to me penitently.

스와힐리어

lakini kaa nao kwa wema duniani, nawe ishike njia ya anaye elekea kwangu.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

allah chooses for himself whomsoever he pleases and guides to himself whoever penitently turns to him.

스와힐리어

mwenyezi mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

and bear them thou company in the world reputably, and follow thou the path of him who turneth penitently unto me.

스와힐리어

lakini kaa nao kwa wema duniani, nawe ishike njia ya anaye elekea kwangu.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

as for those who stay clear of the worship of fake deities and turn penitently to allah, there is good news for them.

스와힐리어

na wale wanao jiepusha na ibada potovu, na wakarejea kwa mwenyezi mungu, watapata bishara njema.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

and remain turning penitently unto him, and fear him, and establish prayer, and be not of the associaters:

스와힐리어

muwe wenye kutubia kwake, na mcheni yeye, na shikeni sala, na wala msiwe katika washirikina.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

allah chooses for it whomever he wishes, and he guides to it whomever returns penitently [to him].

스와힐리어

mwenyezi mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

surely we put solomon to the test and cast upon his throne a mere body. thereupon he penitently turned (to us).

스와힐리어

na tulimtia mtihanini suleiman, na tukauweka mwili juu ya kiti chake, kisha akarejea kwa kutubu.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

(on the other hand), good tidings await those who eschew serving false gods and penitently return to allah.

스와힐리어

na wale wanao jiepusha na ibada potovu, na wakarejea kwa mwenyezi mungu, watapata bishara njema.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

say, ‘indeed allah leads astray whomever he wishes, and guides to himself those who turn penitently [to him]

스와힐리어

sema: hakika mwenyezi mungu humwacha kupotea amtakaye, na humwongoa anaye elekea kwake,

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

i only desire to put things in order, as far as i can, and my success lies only with allah: in him i have put my trust, and to him i turn penitently.

스와힐리어

na sipati kuwezeshwa haya ila na mwenyezi mungu. kwake yeye ninategemea, na kwake yeye naelekea.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

and when hurt toucheth mankind they cry unto their lord, turning penitently unto him; then when he causeth them to taste of his mercy, lo! a part of them with their lord associate others.

스와힐리어

yakiwapata watu madhara humwomba mola wao mlezi nao wametubu kwake. kisha akiwaonjesha rehema itokayo kwake, mara kikundi miongoni mwao humshirikisha mola wao mlezi,

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

(while so saying) david realized that it is we who have put him to test; therefore, he sought the forgiveness of his lord, and fell down, bowing and penitently turning (to him).

스와힐리어

na daudi akajua kuwa tumemfanyia mtihani. basi akamwomba msamaha mola wake mlezi, na akaanguka kusujudu na kutubia.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,794,463,287 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인