검색어: please, specify two different languages (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

please, specify two different languages

스와힐리어

kikulacho ki nguoni mwako insha

마지막 업데이트: 2022-05-16
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

specify two attributes of a good listing

스와힐리어

taja sifa mbili za tangazo nzuri

마지막 업데이트: 2022-06-07
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

over than 200 different languages have disappeared in the last 3 generations.

스와힐리어

zaidi ya lugha 200 nyingine zimetoweka katika vizazi 3 vilivyopita.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the video interviews are sometimes in different languages, but all of it is subtitled in english.

스와힐리어

mahojiano hayo ya video mara nyingine huwa katika lugha mbalimbali, lakini hewekewa tafsiri zake katika kiingereza.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

a mini mural showing two major rituals of two different groups.

스와힐리어

mchoro mdogo ukionesha aina mbili za matambiko ya jamii mbili tofauti.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

two different reformist rivals and their supporters insist there was election fraud at play.

스와힐리어

washindani wawili wanamageuzi pamoja na mashabiki wao wanasisitiza kwamba palitokea udanganyifu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

global voices is currently available in more than 30 different languages thanks to the amazing volunteer editors and translators of our lingua project.

스와힐리어

mtandao wa global voices kwa sasa unapatikana katika zaidi ya lugha 30 tofauti shukrani za pekee kwa wahariri na wafasiri wetu wanaojitolea kwenye mradi wetu wa lingua.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

online voting has begun for the best of the blogs awards from deutsche welle, one of the most prestigious international blog competitions with nominated blogs in eleven different languages.

스와힐리어

upigaji kura mtandaoni umeanza kwa ajili ya tuzo ya blogu bora zaidi inayotolewa na deutsche welle (shirika la habari la ujerumani), moja kati ya mashindano ya blogu yenye hadhi kubwa kimataifa na blogu zilizotajwa kushiriki ni za lugha kumi na moja tofauti.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

to draw the world's attention to the protest, student activist yeh jiunn tyng translated the following message into 31 different languages on his facebook profile:

스와힐리어

ili kuweza kuvuta hisia za dunia nzima kwenye maandamano hayo, mwanaharakati mwanafunzi yeh jiunn tyng ametafsiri ujumbe ufuatao katika lugha tofauti 31 kwenye wasifu wake wa mtandao wa facebook:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

i think it will be great too, if they can send voice mails in the different languages we have, to their respective customers with regards to ebola preventive measures, because i doubt everyone will be able to read the text messages

스와힐리어

ninadhani itafaa pia, kama wanaweza kutuma ujumbe wa sauti kwa wateja wao katika lugha tofauti zilizopo nchini, kuhusiana na hatua za kukabiliana na ebola, kwa sababu nina wasiwasi watu wengi hawatakuwa na muda wa kusoma ujumbe wanaotumiwa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

they filmed two members of their group, of apparently the same age and dressed similarly, trying to enter the same bank at two different moments, carrying the very same bag filled with metal - keys, coins, mobile phone.

스와힐리어

waliwarekodi wanachama wao wawili katika filamu, ambao wana rika moja na waliovalia mavazi yanayofanana, wakijaribu kuingia benki katika benki moja katika nyakati tofauti, huku wakiwa wamebeba mikoba iliyojaa vyuma – funguo, sarafu, simu za mkononi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the song was composed by rwanda's gospel singer jean paul samputu in kinyanrwanda, but its choruses are sung in different languages (english, french, swahili, kirundi and kiganda) by various popular regional musicians.

스와힐리어

ulitungwa kwa lugha ya kinyarwanda, lakini viitikio vilikuwa katika lugha tofauti (kiingereza, kifaransa, kiswahili, kirundi na kiganda) na uliimbwa na wanamuziki wengi maarufu kutoka eneo la afrika ya mashariki.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

starting this month, global voices (in different languages) will be recommended to the millions of people who use an app called flipboard on their tablets and smartphones to create the experience of a "magazine" that combines their favorite media and social media content in one place.

스와힐리어

kuanzia mwezi huu, mtandao wa global voices (katika lugha tofauti) utakuwa ukipendekezwa kwa mamilioni ya watu wanaotumia zana tumizi iitwayo flipboard kwenye simu zao za kisasa au vifaa vingine vya kielektroniki ili kutengeneza kitu kinachofanana na "gazeti" kitakachokusanya mitandao yenye mvuto na maudhui ya mitandao ya kiraia katika sehemu moja.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

 grains (e.g., maize, rice, wheat, sorghum, millet)  vegetables (e.g., tomatoes, potatoes, cabbage, carrots, onions)  legumes (e.g., beans, peas, lentils, chickpeas)  fruits (e.g., bananas, mangoes, oranges, pineapples, avocadoes)  herbs and spices (e.g., basil, cilantro, rosemary, mint)  other (please specify):

스와힐리어

nafaka (kwa mfano, mahindi, mchele, ngano, mtama, ulezi) mboga (kwa mfano, nyanya, viazi, kabichi, karoti, vitunguu) mkunde (kwa mfano, maharagwe, maharagwe, lentili, mbaazi) matunda (kwa mfano, ndizi, maembe, machungwa, mananasi, parachichi) mitishamba na viungo (kwa mfano, mrihani / mrehani, dhania, rosemary, nanaa) nyingine (tafadhali taja):

마지막 업데이트: 2023-09-18
사용 빈도: 2
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
8,030,564,753 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인