전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
requesting removal of content
kuomba kuondolewa kwenye mfumo
마지막 업데이트: 2023-12-19
사용 빈도: 2
품질:
sharing the table of the lord
kushiriki meza ya bwana
마지막 업데이트: 2023-06-17
사용 빈도: 1
품질:
they also discussed the importance of content verification and best practices and taking your questions via the q and a app.
pia walijadili umuhimu wa kuhakiki maudhuri na mbinu bora za kufanya kazi hiyo na pia kujibu maswali yenu kupitia kipindi cha maswali na majibu.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
the world was. together, we made kony famous and put the issue of lra violence on the table of popular and political interest.
ulimwengu ulikuwa pamoja kumfanya kony kuwa maarufu na kuweka suala la unyanyasaji la lra juu ya meza ya umaarufu na maslahi ya kisiasa.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
felix okoli lays the bulk at the table of the independent national electoral commission (inec) and particularly on its boss attahiru jega:
felix okoli lanaweka mzigo kwenye meza ya tume ya uchaguzi ya naijeria (inec) na hasa mkubwa wa tume hiyo attahiru jega:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
for allah only is the kingship on that day; he will judge between them; so those who believed and did good deeds are in gardens of content.
atahukumu baina yao. basi walio amini na wakatenda mema watakuwa katika bustani zenye neema.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
ye cannot drink the cup of the lord, and the cup of devils: ye cannot be partakers of the lord's table, and of the table of devils.
hamwezi kunywa kikombe cha bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika meza ya bwana na katika meza ya pepo.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
further, "it aims to build a national collection of content including print, audio and video to preserve them in digital form, and make them available for discovery and research."
zaidi ya hayo, "ina lengo la kutengeneza mkusanyiko wa maudhui ya taifa ikiwa ni pamoja na maandiko, kanda za sauti na video kwa ajili ya kuzihifadhi katika mfumo wa kidijitali, na kuzifanya zipatikane kwa ajili ya ugunduzi na utafiti."
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
organizer the kenyan blog awards are an initiative of the bloggers association of kenya (bake). bake is a community organization that represents a group of kenyan online content creators and that seeks to empower online content creation and improve the quality of content created on the web.
waandaaji wa tuzo hizi ni wanachama wa chama cha wanablogu kenya (bake), jumuia inayowakilisha kikundi cha wazalishaji wa maudhui mtandaoni kinachotaka kukuza uzalishaji wa maudhui na kuboresha kiwnago cha maudhui yanayowekwa mtandaoni.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
and jesus went into the temple of god, and cast out all them that sold and bought in the temple, and overthrew the tables of the moneychangers, and the seats of them that sold doves,
basi, yesu akaingia hekaluni, akawafukuza nje watu waliokuwa wanauza na kununua vitu ndani ya hekalu; akazipindua meza za wale waliokuwa wanavunja fedha, na viti vya wale waliokuwa wanauza njiwa.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질: