Ask Google

Results for table of content translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

They also discussed the importance of content verification and best practices and taking your questions via the Q and A app. 

Swahili

Pia walijadili umuhimu wa kuhakiki maudhuri na mbinu bora za kufanya kazi hiyo na pia kujibu maswali yenu kupitia kipindi cha maswali na majibu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The world was. Together, we made Kony famous and put the issue of LRA violence on the table of popular and political interest.

Swahili

Ulimwengu ulikuwa pamoja kumfanya Kony kuwa maarufu na kuweka suala la unyanyasaji la LRA juu ya meza ya umaarufu na maslahi ya kisiasa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Felix Okoli lays the bulk at the table of the Independent National Electoral Commission (INEC) and particularly on its boss Attahiru Jega:

Swahili

Felix Okoli lanaweka mzigo kwenye meza ya Tume ya Uchaguzi ya Naijeria (INEC) na hasa mkubwa wa tume hiyo Attahiru Jega:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

For Allah only is the kingship on that day; He will judge between them; so those who believed and did good deeds are in Gardens of content.

Swahili

Atahukumu baina yao. Basi walio amini na wakatenda mema watakuwa katika Bustani zenye neema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Ye cannot drink the cup of the Lord, and the cup of devils: ye cannot be partakers of the Lord's table, and of the table of devils.

Swahili

Hamwezi kunywa kikombe cha Bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika meza ya Bwana na katika meza ya pepo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Further, "it aims to build a national collection of content including print, audio and video to preserve them in digital form, and make them available for discovery and research."

Swahili

Zaidi ya hayo, "ina lengo la kutengeneza mkusanyiko wa maudhui ya taifa ikiwa ni pamoja na maandiko, kanda za sauti na video kwa ajili ya kuzihifadhi katika mfumo wa kidijitali, na kuzifanya zipatikane kwa ajili ya ugunduzi na utafiti."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

Organizer The Kenyan Blog Awards are an initiative of the Bloggers Association of Kenya (BAKE). BAKE is a community organization that represents a group of Kenyan online content creators and that seeks to empower online content creation and improve the quality of content created on the web.

Swahili

Waandaaji wa tuzo hizi ni wanachama wa Chama cha Wanablogu Kenya (BAKE), jumuia inayowakilisha kikundi cha wazalishaji wa maudhui mtandaoni kinachotaka kukuza uzalishaji wa maudhui na kuboresha kiwnago cha maudhui yanayowekwa mtandaoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Which had the golden censer, and the ark of the covenant overlaid round about with gold, wherein was the golden pot that had manna, and Aaron's rod that budded, and the tables of the covenant;

Swahili

Humo mlikuwa na madhabahu ya dhahabu kwa ajili ya kufukizia ubani, na Sanduku la Agano, ambalo lilikuwa limepakwa dhahabu pande zote, na ndani yake mlikuwa na chungu cha dhahabu kilichokuwa na mana; fimbo ya Aroni iliyokuwa imechanua majani, na vile vibao viwili vilivyoandikwa agano.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And Jesus went into the temple of God, and cast out all them that sold and bought in the temple, and overthrew the tables of the moneychangers, and the seats of them that sold doves,

Swahili

Basi, Yesu akaingia Hekaluni, akawafukuza nje watu waliokuwa wanauza na kununua vitu ndani ya Hekalu; akazipindua meza za wale waliokuwa wanavunja fedha, na viti vya wale waliokuwa wanauza njiwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And they come to Jerusalem: and Jesus went into the temple, and began to cast out them that sold and bought in the temple, and overthrew the tables of the moneychangers, and the seats of them that sold doves;

Swahili

Basi, wakafika Yerusalemu. Yesu akaingia Hekaluni, akaanza kuwafukuza nje watu waliokuwa wanauza na kununua vitu humo ndani. Akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadilishana fedha na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Forasmuch as ye are manifestly declared to be the epistle of Christ ministered by us, written not with ink, but with the Spirit of the living God; not in tables of stone, but in fleshy tables of the heart.

Swahili

Ni dhahiri kwamba ninyi ni barua ya Kristo aliyoipeleka kwa mikono yetu. Barua yenyewe imeandikwa si kwa wino, bali kwa Roho wa Mungu hai; imeandikwa si juu ya kipande cha jiwe, bali juu ya mioyo ya watu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK